Pre GE2025 Askofu Bagonza: Kanisa likijenga Shule ama Hospitali halihojiwi na Serikali, lakini likihoji mbona dawa hakuna linaambiwa lisichanganye dini na siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dini na sasa ni sawa na vilevi vya akili ( vyote ni vilevi) vinatumika kughilibu akili za watu....
 
Mmmh...Mwamposa au Gwajima?
 
What is wrong kama watu wake kupitia katiba yao inamruhusu? Waachwe wanyarwanda waamue wenyewe nani awatawale!! He is a benevolent dictator which his better for Rwanda than other options!
Which,basi sawa.
 
Wee mpuuzi wa kiwango cha juu, vipi kuhusu Askofu Gwajima unamwambiaje au kwa kuwa ni CCM
Gwajima ashughulikiwe kama Gwajima, hapa ilikuwa ni Askofu Bagonza. Elewa hivyo kenge wee
 
Gwajima ashughulikiwe kama Gwajima, hapa ilikuwa ni Askofu Bagonza. Elewa hivyo kenge wee
Wewe ni kichwa maji Ndiyo maana hata wanaccm wenzako wenye akili wameakaa kimya.

Unamshughulikia Bagonza kwa kosa gani au kwa ujinga wako, sheria ipi, kanuni ipi, inayomkataza kuwa asizungumzie siasa. Au ni umbumbumbu wako tu. Nenda shule nafasi bado zipo.
 
Ya kanisani yamemshinda. Nataka afanye kazi yake ya kiroho. Makanisa ndiyo chanzo cha uvunjifu wa amani
 
Ya kanisani yamemshinda. Nataka afanye kazi yake ya kiroho. Makanisa ndiyo chanzo cha uvunjifu wa amani
Wewe unamtaka kama nani ktk kanisa, na je amevunja kanuni ipi ya kanisa? Ndiyo maana tunakwambia wewe hauko Sawa kichwani.
 
Ndeeefu ila ni upuuzi mtupu
 
Usipindishe. Ninamaanisha yeye aendelee na kazi yake ya uongozi wa kiroho na kazi za kisiasa awaachie wanasiasa.
Waambiwe kina Gwajima kwanza manake ndiyo direct wanachanganya dini na siasa direct then waje hawa👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…