Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Dini na sasa ni sawa na vilevi vya akili ( vyote ni vilevi) vinatumika kughilibu akili za watu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh...Mwamposa au Gwajima?Rwakatare alikuwa kiongozi wa kanisa na aligombea ubunge viti maalum ccm na alipata na hakujivua uongozi wa kanisa lake. Dini na Siasa
Mwamposa alipewa ubunge wa Kawe akiwa kiongozi wa kanisa, na hakujivua uongozi wa kanisa lake. Dini na Siasa.
Hii imekaaje?
Which,basi sawa.What is wrong kama watu wake kupitia katiba yao inamruhusu? Waachwe wanyarwanda waamue wenyewe nani awatawale!! He is a benevolent dictator which his better for Rwanda than other options!
Nyie tatizo wengi machawa mnazizima tu kama manyigu kuitetea ccm kisa njaa ama ukilaza.Anatamani sana, na ndiyo maana kila mara yuko na statements tu zenye utata.
[emoji1787][emoji1787]labda kanzuKitu gani kwenye siasa ambacho sio biashara.
Gwajima ashughulikiwe kama Gwajima, hapa ilikuwa ni Askofu Bagonza. Elewa hivyo kenge weeWee mpuuzi wa kiwango cha juu, vipi kuhusu Askofu Gwajima unamwambiaje au kwa kuwa ni CCM
Wewe ni kichwa maji Ndiyo maana hata wanaccm wenzako wenye akili wameakaa kimya.Gwajima ashughulikiwe kama Gwajima, hapa ilikuwa ni Askofu Bagonza. Elewa hivyo kenge wee
Ya kanisani yamemshinda. Nataka afanye kazi yake ya kiroho. Makanisa ndiyo chanzo cha uvunjifu wa amaniWewe ni kichwa maji Ndiyo maana hata wanaccm wenzako wenye akili wameakaa kimya.
Unamshughulikia Bagonza kwa kosa gani au kwa ujinga wako, sheria ipi, kanuni ipi, inayomkataza kuwa asizungumzie siasa. Au ni umbumbumbu wako tu. Nenda shule nafasi bado zipo.
Wewe unamtaka kama nani ktk kanisa, na je amevunja kanuni ipi ya kanisa? Ndiyo maana tunakwambia wewe hauko Sawa kichwani.Ya kanisani yamemshinda. Nataka afanye kazi yake ya kiroho. Makanisa ndiyo chanzo cha uvunjifu wa amani
Ndeeefu ila ni upuuzi mtupuSerikali makini isiyo na upigaji ya Rwanda imeweka taratibu halali kabisa za kielimu za nani anayefaa kuwa na kanisa na nani asiyefaa, Kagame anajiamini katika ufanisi wa utendaji kazi wa serikali yake na anakuwa na jeuri ya kuwawekea mipaka viongozi wa dini akijijua kuwa anao uwezo wa kutimiza wajibu wake.
Hapa Tanzania bado kuna ombwe la ufanisi wa serikali yetu upigaji ni mwingi sana na hiyo ni fursa ya viongozi wa dini kujihusisha na masuala mengi ya kijamii na mwishoni wanajiona wanayo haki ya msingi ya kushiriki maendeleo ya kila siku ya watu wanaosali makanisani mwao.
Kagame kuweza kuwa na sauti ya mwisho kwa taasisi za kidini ni kuona mbali kunakotokana na utashi wake wa kushughulika na masuala ya kijamii kuwa mkubwa na wa dhati kuliko walionao viongozi wetu.
Hata huo waraka uliosambazwa na maaskofu ni kwa sababu wanajua kuna ombwe katika ufanisi mzima wa kiserikali, wanatumia ushawishi wao wa kiroho walionao mbele ya waumini wakijua ubovu wa jamii zetu za kitanzania.
Tumejenga jamii ya hovyo sana na maaskofu wetu wanautumia ubovu huo kwa kuimarisha ushawishi wanaokuwa nao maishani mwetu.
Waambiwe kina Gwajima kwanza manake ndiyo direct wanachanganya dini na siasa direct then waje hawa👇Usipindishe. Ninamaanisha yeye aendelee na kazi yake ya uongozi wa kiroho na kazi za kisiasa awaachie wanasiasa.