PostGE2025 Askofu Bagonza: Kuna “vita” imeanzishwa kulishambulia Kanisa Katoliki nchini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kanisa limeleta laana kubwa sana ndani ya taifa hili

Even during colonialism liliside na wakoloni wakati waislam wanapigania uhuru wa taifa hili

Tuoneshe wapi katika harakati za uhuru umeliona kanisa hata hao wavaa magauni wanaojifanya wana.uchungu na taifa hili leo
 
Sasa kama wana vyuo na hospital why wasiendeshe wenyewe hizo.hospital hadi waombe pesa serikalini??

Hawana lolote ni omba omba tuh
Hakuna mahali wanaomba pesa serikalini wanajitosheleza kwa kila kitu, serikali ndio huomba kuingia ubia na taasisi za roman catholic labda kuna mambo hujui wewe kiazi, katholuc sio waislam mlio hongwa chuo MUM.
 
Wasingeingia huo mkataba wa kitapeli,wewe na padre sivalon nani anajua?.. sivalon kwenye kitabu chake 'kanisa katoliki na siasa tz' anasema bila serikali kusaidia miradi ya kanisa ingekufa,yaani Kodi zetu zinasaidia miradi ya kanisa
kanisa katoliki sio Tz tuu…hii ni dunia nyingine…mifumo yake ya uendeshaji ni hatari sana…na ni ya kiakili vibaya mno…hawakurupuki na wala hawajaanza leo…unahisisha na siasa za Tz huku uhuru wenyewe umepatikana 1961…hawa walikuwepo tangu na tangu
 
"Safishasafisha Wakatoliki kila mahali" Inajulikana nguvu ya maaskofu ukitoa mafuta waliyopakwa ni waamini waliokwenye kila kitengo na pia nguvu ya uchumi. Hii vita ya nje inayopigwa TEC seems ilishapigwa huko ndani saaana
 
Kunyonya hazina ya nchi ni mifumo ya kiakili!?.. sehemu wakiwa na vibaraka wao serikalini basi uhakikisha wanaweka mirija hazina ya nchi, sehemu wasipokua na vibaraka hali mbaya, ndiyo maana kutwa na siasa kuliko kumuhubiri yesu
 
Hakuna mahali wanaomba pesa serikalini wanajitosheleza kwa kila kitu, serikali ndio huomba kuingia ubia na taasisi za roman catholic labda kuna mambo hujui wewe kiazi, katholuc sio waislam mlio hongwa chuo MUM.
Serikali iombe ubia??

Nenda kasome mikataba ambayo wilbroad slaa alisimamia kipindi hicho akiwa katibu mkuu wa TEC WALIPOIOMBA SERIKALI MSAADA WA KUPATA UFADHILI WA MOU UELEWE

TEC bila ya msaada wa serikali kesho.tuh ina dondoka halafu inataka kuvimba
 
hivi hichi ulichoandika ni nini? hebu kirudie tena kusoma..binafsi sipo hapa kubishania dini ya mtu…lakin tambua ujue BABA ni BABA tu hata akifa picha utaikuta seat room…
 
Kunyonya hazina ya nchi ni mifumo ya kiakili!?.. sehemu wakiwa na vibaraka wao serikalini basi uhakikisha wanaweka mirija hazina ya nchi, sehemu wasipokua na vibaraka hali mbaya, ndiyo maana kutwa na siasa kuliko kumuhubiri yesu
kipindi wao wakiweka hazina zao katika nchi ninyi mlikuwa mnaweka nini??
 
Walikuwepo tangu na tangu wapi wewe?

Sema walikuwapo toka enzi za ukoloni wakishiriliana na wakoloni slave masters wao kufuja mali na kuwadhalilisha fellow africans

Nenda ukasome uone missionaries walishiriki kwa kiasi gani kuharibu mababu zetu
 
Taja hiyo miradi na hizo fedha walizo pewa TEC? Na kama Serikali haikupata faida kutokana na misaada hiyo kwa community?
 
Kanisa siku zote wanategemea fedha za wizi kama sadaka kutoka kwa kondoo wao na mou kutoka serikalini na kupenda dezo dezo kwa kupitisha uchafu wao pale bandarini kwa mgongo wa dini,hawana ujanja wa kutafuta chochote TEC ni kama mashoga tuh
Muone kilaza mwingine huyu! Uliwahi kusikia waumini wa Katoliki wakilalamika kuibiwa hizo sadaka, au ni kiherehere chako tu ndiyo kinacho kusumbua? Unafahamu namna ya mchanganuo wa hizo sadaka zinavyotumika?

Halafu ulishawahi kwenda kwenye hospitali na vyuo vya Katoliki, na kuona kama wanapoata huduma ya afya na elimu kama ni Wakatoliki pekee, au mpaka nyinyi wavaa kobazi nahudumiwa pasipo kubaguliwa?
 
Bila voice note ni uongo. Kamwe KKKT hawawezi kuwapongeza katoliki. KKKT ni protestanti.
 
Wewe fala wenye hospitals nchini hapa siyo TEC pekeyake

Muhimbili siyo ya TEC na waliotoa majengo yale kina sewahaji ni waislam enzi hizo

Aghakhan,hindumandal,saifee na zingine nyingi siyo TEC na hata nyinyi makafiri mnapata tiba pale

Besides hata waislam.wakienda. kwenye hizo hospitals huduma.mnawapa bure?si wanazilipia na hapo hapo fedha za mou mnachukua..

Hamna uwezo wowote wa kujiendesha nyinyi mafala bila support ya serikali
 
TEC ili wafta watu majumbani na kuwapiga risasi za vichwa ,vichwa vikawa kama tikiti maji
 
Watambue ya kwamba Katoliki ilikuwepo kabla ya Serikali ya Tanzania
 
Walikuwepo tangu na tangu wapi wewe?

Sema walikuwapo toka enzi za ukoloni wakishiriliana na wakoloni slave masters wao kufuja mali na kuwadhalilisha fellow africans

Nenda ukasome uone missionaries walishiriki kwa kiasi gani kuharibu mababu zetu
Hamna mkoloni aliyekua ana nafuu, waarabu na watu wa pwani wengi miliokua ndiyo AGENTS wa biashara ya UTUMWA. Watu wa Pwani wengi sana wabantu ndiyo walishiriki kwenye uuzaji wa ARDHI kwa Carl Peters na hata ushiriki wa majeshi ya Ujerumani kupigana na indegeneous tribes. Kama ukisoma vizuri utaona kuwa Kanisa lilishiriki vizuri kupiga vita utumwa, ila kwa sababu ya Madrassa Brainwashing huwezi kuhusisha kichwa kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…