gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Lakini serikali ya tz inalilisha kanisa,imefanya hivyo mudaWatambue ya kwamba Katoliki ilikuwepo kabla ya Serikali ya Tanzania
Lakini serikali ya tz inalilisha kanisa,imefanya hivyo mudaWatambue ya kwamba Katoliki ilikuwepo kabla ya Serikali ya Tanzania
Mtasoma wapi?Tec tunataka MoU ifutwe, vyuo vikuu vyao vikose fedha ili vifungwe
Sisi washiraz utuweka wapi?Hamna mkoloni aliyekua ana nafuu, waarabu na watu wa pwani wengi miliokua ndiyo AGENTS wa biashara ya UTUMWA. Watu wa Pwani wengi sana wabantu ndiyo walishiriki kwenye uuzaji wa ARDHI kwa Carl Peters na hata ushiriki wa majeshi ya Ujerumani kupigana na indegeneous tribes. Kama ukisoma vizuri utaona kuwa Kanisa lilishiriki vizuri kupiga vita utumwa, ila kwa sababu ya Madrassa Brainwashing huwezi kuhusisha kichwa kufikiri.
Endelea kuumia tu...MoU haivunjiki leo wala kesho...Kanisa siku zote wanategemea fedha za wizi kama sadaka kutoka kwa kondoo wao na mou kutoka serikalini na kupenda dezo dezo kwa kupitisha uchafu wao pale bandarini kwa mgongo wa dini,hawana ujanja wa kutafuta chochote TEC ni kama mashoga tuh
Hoja za kitoto sana, naona askofu haamini kama mapinduzi yao ya tarehe 29.10.2025 yamefeli. Nchi Ina Mungu hii anayewapenda raia wake.Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook anasema;
WARAKA WA TEC: Kuna Watu Wanaiharibia Serikali.
Kuna “vita” imeanzishwa kulishambulia Kanisa Katoliki nchini. Vita hiyo inaiumiza serikali kuliko walengwa wa vita hiyo. Nashauri tuiache serikali ijiharibie na uwezo huo inao. Tafakari haya yanayosemwa na watu wasiojisikiliza wakati wanaongea:
1. BANDARI: Kwa hiyo miaka yote TEC wanakwepa kodi, wanauza madawa ya kulevya na mambo mengine machafu, na serikali zooooote zilizopita ziliwaacha mpaka awamu hii ya sita?!
2. VURUGU ZA UCHAGUZI MKUU: Kwa hiyo TEC ndiyo iliyoharibu uchaguzi, ikaua watu, ikaharibu mali, ikazima internet nk?
3. MATAMKO YA WAANGALIZI WA UCHAGUZI: Kwa hiyo SADC, AU, EU, State Department na Balozi zooote zilizosema uchaguzi ulikosa viwango, wote hao ni Wakatoliki au walishinikizwa na TEC?!
4. UTEKAJI: kwa hiyo, wakatoliki ndio walioagiza watu watekwe, wakampiga na Fr Kitima, wakateka mapadre na kuwadhalilisha au TEC hao hao wakafunga midomo ya viongozi kutokemea vitendo hivyo?
5. WASIOJULIKANA: Kwa hiyo hawa TEC ndio wasiojulikana ambao wanaogopwa na serikali kiasi cha kutofungua midomo kuwakemea?
6. MAANDAMANO: Kwa hiyo TEC ina nguvu ya kuwahamasisha vijana wa dini zote, vyama vyote, jinsia zote kuingia barabarani? Kwa hiyo TEC ina nguvu kuliko serikali na wazazi?
7. RUSHWA NA UFISADI: kwa hiyo TEC ndiyo inanyamazia ripoti za CAG, inagawa rushwa ndani na nje ya vyama wakati wa uchaguzi? TEC ndiyo inawalipa wanaotumia mitandao kuitukana serikali na sasa imewalipa ili waitukane TEC?
TEC ndiyo inayoagiza watu wale rushwa bila hofu ya TAKUKURU?
8. MAUAJI YA RWANDA: Kanisa Katoliki Rwanda lilihukumiwa kwa dhambi mbili. Kwanza, baadhi ya mapadre na maaskofu kuunga mkono serikali ya Habyalimana katika kuwabagua Watusi. Pili, baadhi mapadre na maaskofu kukaa kimya wakati hayo yanaendelea. Kundi la kwanza lilienda mbali na kushirikiana na polisi (kwa kuwaonyesha walipo Watusi) ili wauawe. Sasa Je TEC yetu imefanya lipi kati ya hayo mawili ili iwaombe radhi watanzania? Inaunga mkono serikali katika kuvitesa vyama vya upinzani?! Je iko kimya kama TEC ya Rwanda kabla ya mauaji ya kimbari?!
Nijuacho mimi, TEC kwa ukubwa wake, ikikaa kimya ni taabu, Ikisema ni taabu. Haya sasa, waondoeni wakatoliki wooote kila mahali na funga midomo yao, tuone kama matatizo yetu yatayeyuka kama umande!
Jamani, Tutafute watu wazuri na wabobevu wa kuwasema TEC. Hawa waliojitokeza, wanawasafisha TEC wakati si lengo lao kuwasafisha.
NARUDIA: Kuna kitu hakikwenda sawa tarehe 29/10/2025. Yawezekana halikuwa lengo hilo lakini kikatokea. Kusema SAMAHANI haiondoi wala kupunguza heshima yetu. Kama taifa, tunalazimika kuishi na hali tusiyoweza kuibadilisha.
Baba wa Taifa aliwahi kutuadithia kisa cha dereva wa Ikulu aliyekuwa anapiga “rivasi” akamkanya mtoto wake na kumuua. Aliumia lakini akaendelea na msafara na kurudi baadaye kwa mazishi. Uzalendo una gharama.
Ugumu wa moyo haujawahi kuleta amani wala suluhisho. Serikali yetu siyo malaika.
Taja hospitali hata moja tu basi iliyo chini ya Bakwata ili nikakununulie kilo moja ya kitimoto ukale na ndugu zako.Wewe fala wenye hospitals nchini hapa siyo TEC pekeyake
Muhimbili siyo ya TEC na waliotoa majengo yale kina sewahaji ni waislam enzi hizo
Aghakhan,hindumandal,saifee na zingine nyingi siyo TEC na hata nyinyi makafiri mnapata tiba pale
Besides hata waislam.wakienda. kwenye hizo hospitals huduma.mnawapa bure?si wanazilipia na hapo hapo fedha za mou mnachukua..
Hamna uwezo wowote wa kujiendesha nyinyi mafala bila support ya serikali
Udsm, mzumbe...Mtasoma wapi?
Hivi nursery, primary na secondary schools za tec nazo ni sehemu ya MoU?Tec tunataka MoU ifutwe, vyuo vikuu vyao vikose fedha ili vifungwe
Kibaha ni msada wa SweedenMalaria
TEC haiwezi kukosa pesa, ni watu wabunifu na siyo wafujaji, hizo kodi au unafuu waliokuwa wanapata kutoka serikalini ilikuwa kama "subsidies" siyo kweli kuwa ni masikini. Angalia investments zao hata kabla ya uhuru, hao watu wenu kama JK hawangesoma kama siyo TEC na mashirika ya dini ya Kikristo.
Tosamaganga, St Georges Mkwawa, Kibaha, St Marys Pugu, Forodhani nk nk.
Angalia na Mahospitali yenu.
Mbinu: TEC ni Thinkers. Nyie Madrassa ni Majungu- badala ya kutafiti na kupata mradi ili muingie ubia na Serikali ili nanyi muendeleze Taasisi zenu mnakalia kuwa ati Serikali ifute Taasisi za Kikatoliki. Sijui akili ya wapi hii.
Hivi bakwata Wana hospitali gani inayotambulika?😀😀😀Kabisa,hawa hawana jeuri yoyote ndani ya nchi hii hawa kenge.
Kwanza wanaifilisi sana nchi hii kwa kuchota mamillion ya fedha serikalini eti kwa kigezo cha kutoa huduma,huduma gani wanatoa hawa ili hali huduma sisi tunalipia??
Dawa yao ni kukata hiyo mirija tuone jeuri yao inatoka wapi kima hawa
Hawajui kuwa tec wanauza mpaka mvinyo? 🤣🤣🤣.Malaria
TEC haiwezi kukosa pesa, ni watu wabunifu na siyo wafujaji, hizo kodi au unafuu waliokuwa wanapata kutoka serikalini ilikuwa kama "subsidies" siyo kweli kuwa ni masikini. Angalia investments zao hata kabla ya uhuru, hao watu wenu kama JK hawangesoma kama siyo TEC na mashirika ya dini ya Kikristo.
Tosamaganga, St Georges Mkwawa, Kibaha, St Marys Pugu, Forodhani nk nk.
Angalia na Mahospitali yenu.
Mbinu: TEC ni Thinkers. Nyie Madrassa ni Majungu- badala ya kutafiti na kupata mradi ili muingie ubia na Serikali ili nanyi muendeleze Taasisi zenu mnakalia kuwa ati Serikali ifute Taasisi za Kikatoliki. Sijui akili ya wapi hii.
Vipi Mum bila msaada wa kulipiwa mishahara ya malecture wao wanaweza hata kussustain mwez mmoja? Toka walivyopewa na serikali hivi wamefanikiwa hata kuongeza tawi jingine?Serikali iombe ubia??
Nenda kasome mikataba ambayo wilbroad slaa alisimamia kipindi hicho akiwa katibu mkuu wa TEC WALIPOIOMBA SERIKALI MSAADA WA KUPATA UFADHILI WA MOU UELEWE
TEC bila ya msaada wa serikali kesho.tuh ina dondoka halafu inataka kuvimba
Taja hospitali zinazomilikiwa na bakwata hizo ni private za watu binafsi.Wewe fala wenye hospitals nchini hapa siyo TEC pekeyake
Muhimbili siyo ya TEC na waliotoa majengo yale kina sewahaji ni waislam enzi hizo
Aghakhan,hindumandal,saifee na zingine nyingi siyo TEC na hata nyinyi makafiri mnapata tiba pale
Besides hata waislam.wakienda. kwenye hizo hospitals huduma.mnawapa bure?si wanazilipia na hapo hapo fedha za mou mnachukua..
Hamna uwezo wowote wa kujiendesha nyinyi mafala bila support ya serikali
Basi wataje hata zanzibar kwenye waislamu wengi. Kama kweli kuna hospitali za bakwata au hata shuleTaja hospitali hata moja tu basi iliyo chini ya Bakwata ili nikakununulie kilo moja ya kitimoto ukale na ndugu zako.
TEC wana Bugando, Ndanda, St Francis Ifakara, nk.
Zaidi mko busy tu kutumiwa na ccm kwa malipo ya sahani za ubwabwa. Nyinyi ni wapumbavu wa mwisho kabisa.
Nimecheka, eti wataenda MUM, ile ni madrasa iliyochangamka.Halafu hivyo vyuo vyao vikuu vikifungwa, wanafunzi wote watahamia Muslim University ya Morogoro siyo! Aisee kuna watu mna akili fupi sana. Eti tunataka Mou ifutwe! Aliyekuambia Kanisa Katoliki linaishi kwa kutegemea hiyo Mou yako ni nani?
Peramiho, tena serikali ndo imeomba kuingia nao ubia, na kuifanya kuwa ya Rufaa ili huduma ziwe nyingi zaidi.Taja hospitali hata moja tu basi iliyo chini ya Bakwata ili nikakununulie kilo moja ya kitimoto ukale na ndugu zako.
TEC wana Bugando, Ndanda, St Francis Ifakara, nk.
Zaidi mko busy tu kutumiwa na ccm kwa malipo ya sahani za ubwabwa. Nyinyi ni wapumbavu wa mwisho kabisa.