PostGE2025 Askofu Bagonza: Kuna “vita” imeanzishwa kulishambulia Kanisa Katoliki nchini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sisi washiraz utuweka wapi?
 
Uzuri catholics wanaongozwa na hekima sana na uvumilivu. Hakuna mtu atawajibu mabeef yao ya uongo
 
Watuache na kanisa letu. Huo ugomvi wanaotaka kuuanzisha hawatoweza kuumaliza.
 
Hoja za kitoto sana, naona askofu haamini kama mapinduzi yao ya tarehe 29.10.2025 yamefeli. Nchi Ina Mungu hii anayewapenda raia wake.
 
Taja hospitali hata moja tu basi iliyo chini ya Bakwata ili nikakununulie kilo moja ya kitimoto ukale na ndugu zako.

TEC wana Bugando, Ndanda, St Francis Ifakara, nk.

Zaidi mko busy tu kutumiwa na ccm kwa malipo ya sahani za ubwabwa. Nyinyi ni wapumbavu wa mwisho kabisa.
 
Vita ya kidini haijawahi kuisha ubaya wake wanasiasa wanajishikiza popote pale wanapoungwa mkono

Kama Zanzibar vile ili Act wakubaalike wanaenda kwa gia ya udini na kulikomboa taifa la Zanzibar

Safari hii chadema imeweza kuwateka wakatoliki waliowengi kupitia utanganyika na hasa ukiangalia raisi aliyepo ni mzanzibari

Cuf ilifanya hivyo hivyo kipindi cha professor Lipumba nawasihi watanzania kuwa neutral katika mambo yanayohusu siasa la so hivyo mtauana ndugu kwa ndugu au marafiki mlioshibana maana wanasiasa hutumia huo mwanya kujipenyeza
 
Tec tunataka MoU ifutwe, vyuo vikuu vyao vikose fedha ili vifungwe
Hivi nursery, primary na secondary schools za tec nazo ni sehemu ya MoU?
Mbona wale jamaa Wana akili mingi sana ya kujiendesha bila hata kutegemea serikali?
Isitoshe serikali kushirikianan nao kwao ni mzigo.
Sadaka za waumini wao tu zinatosha kabisa wao kujiendesha achilia mbali bank yao na mambo mengi makubwa
 
Kibaha ni msada wa Sweeden
 
Hivi bakwata Wana hospitali gani inayotambulika?😀😀😀
 
Hawajui kuwa tec wanauza mpaka mvinyo? 🤣🤣🤣.
Hawa kapuku ni wa kuwaonea huruma
 
Vipi Mum bila msaada wa kulipiwa mishahara ya malecture wao wanaweza hata kussustain mwez mmoja? Toka walivyopewa na serikali hivi wamefanikiwa hata kuongeza tawi jingine?
 
Taja hospitali zinazomilikiwa na bakwata hizo ni private za watu binafsi.
 
Bas Basi wataje hata zanzibar kwenye waislamu wengi. Kama kweli kuna hospitali za bakwata au hata shule
 
Halafu hivyo vyuo vyao vikuu vikifungwa, wanafunzi wote watahamia Muslim University ya Morogoro siyo! Aisee kuna watu mna akili fupi sana. Eti tunataka Mou ifutwe! Aliyekuambia Kanisa Katoliki linaishi kwa kutegemea hiyo Mou yako ni nani?
Nimecheka, eti wataenda MUM, ile ni madrasa iliyochangamka.
😂😂😂😂😂
 
Peramiho, tena serikali ndo imeomba kuingia nao ubia, na kuifanya kuwa ya Rufaa ili huduma ziwe nyingi zaidi.

Pia chuo cha Afya Peramiho, serikali imeomba kuingia ubia nao, na kukifanya kiwe chuo cha kuweza kutoa Degree.

Muambie huyo msoma juzuu. 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…