Askofu Bagonza: Kuna watu wanasali Novena kumlilia Mungu leo siku ya tano

Siku zote BAGONZA ni mnafiki sana!

Anasema wanaopinga chanjo ni ccm! Ila wanaopinga Mbowe kukamatwa ni watu wote wakiwemo wana ccm! [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu mtu hana akili kabisa! Huku mtaani kila mtu wakiwemo wanachadema wanapinga hizo chanjo. Yeye asiangalie watu waliojazana hapo kwenye dayosisi yake tu.

Haka kajmaa kwanza ni kadikteta na ka kabila sana,! Kwenye dayosisi yake ni kama ka mungu flani hivi.

Kwa bagonza phd yake kwanza Mungu baadae!

Taifa hili haliwezi kugawanyika kwa sababu Mbowe kakamatwa kwa ugaidi.

Mbona Sabaya alipokamatwa yeye Bagonza alifurahia? Kwanini sasa asisubiri Mbowe ajitetee mahakamani?

Kuhusu hizo tozo. Hivi kipindi kile Mwigulu anasoma bajeti ya kuongeza tozo yeye alikuwa wapi kukemea kabla hazijapitishwa iwe sheria? au nae alikuwa amejiunga na kina Lisu kusaini petition ya kumtoa Diamond kwenye tuzo za bet?
 
Wakati tukitafakari Taifa letu linavyopotea, ni vema tuungane na wanaofunga Novena ili:

1) Mungu atujalie kuupata uongozi mzuri

2) Mungu atujalie hekima ya kuamua tunachotaka kukifanya na aweke baraka zake katika hilo

3) Mungu awakokomboe Watanzania, sawa na alivyowatoa kwa mkono wenye nguvu wana wa Israel kutoka utumwani Misri

4) Mungu atupe ujasiri wa kuinena iliyo kweli na haki bila ya unafiki wala hila.
 
Mwombe Mungu akuondolee kilichopungua akilini na moyoni mwako. Walio kamili wanajadili hoja, hawatusi, hawabwabwaji wala kuropoka.
 
Ni mpuuzi tu na mpumbavu asiyetaka kuona mambo kwa mapana! Siku zote akiona mfumo unasahihishwa anakunya uharo mchafu wenye harufu mbaya kama huyu hapa (kama ni binadamu lakini)
 
Duu umesema ukweli mkuu. Ila nakuona umeelemea Sana kwa Mbowe.
Huyo jamaa ni particle tu ndogo sio kuwa maisha yetu hayataenda bila mbowe.
Mbona watu ni wengi wamebambikiziwa kesi ndugu.

Ningependa ukajikita katika mfumo wa uongozi na katiba mpaya.
Ila inaonekana unateseka na Mbowe ama lisu ama jpm.

Iko ivi usijione kuwa u Bora kuliko wengine ama u dhaifu kuliko wengine.

Ukiwa kiongozi sio kuwa una akili unaowaongoza ndugu. Elewa ilo.
Yaani Taifa tuache kufanye Mambo ya msingi tuanze kumuwazia mbowe.
Mbona watu ni wengi waliokamatwa.
Lisu kupigwa na je akwilina aliyekuwa vipi.
Damu zetu ziko sawa
 
Toa hoja kama mtu mwenye uelewa. Umeuliza maswali ya ujinga mtupu. Eti wakati Mwigulu anasoma mswada wa kuweka tozo kwenye miamala, kwa nini Askofu hakukemea! Loh! Hivi wewe mzima? Wale wanaojiita wabunge, kazi yao ni nini? Nani alijua kuwa hao wanaoitwa wabunge, kumbe yote ni mizoga? Kuna mtu alijua kuwa hayo yanayojiita wabunge, yangekaa kimya na kupitisha tozo hizo gandamizi? Au siku hizi hoja ikipelekwa Bungeni, tunatakiwa tuanze kuijadili ja kuitolea maamuzi huku nje ya bunge?

Tumieni akili mlizopewa na Mungu katika uadilifu kuliko uhalifu.
 
Ukiukuta ujumbe wa iboya usisumbuke kujibu Mara mbili,his/her level of understanding is very low.
 
kumeibuka watu wqanaojiita maaskofu kumbe niwachumia tumbotu kama huyu aliyeharisha hapa na yule mwenzie mwanaharakati uchwara mwamakula wanaingilia mambo yasiyowahusu na ndiyo maana hawatafaulu katikaharakati zao....
Mods,Mimi mlinipiga kwa kutumia neno uharo,tafadhari huyu msimwache.

Nikiona post yake tena nitajua mnaupendele.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Hana msimamo , ukisoma atakuzungusha zungusha kama kichwa chake kilivyo pendulum. Hawezi kujenga msimamo wenye kujenga.
Bendela ya matukio.
Vilaza wa CCM hawawezi kumuelewa.
 
kumeibuka watu wqanaojiita maaskofu kumbe niwachumia tumbotu kama huyu aliyeharisha hapa na yule mwenzie mwanaharakati uchwara mwamakula wanaingilia mambo yasiyowahusu na ndiyo maana hawatafaulu katikaharakati zao...
Kwa mtu unayetumia njia yako ya haja kubwa kufikiri huwezi kumuelewa utaishia kuporomosha matusi kama mlivyofundishwa na yule aliyeko jehanam sasa
 
Askofu atuandikie kitabu cha HAKI.
Aseme tumrushie hela ya uzalendo ili kufanikisha kitabu.
Michango ikimiminika msituandame
 
Kwa mtu unayetumia njia yako ya haja kubwa kufikiri huwezi kumuelewa utaishia kuporomosha matusi kama mlivyofundishwa na yule aliyeko jehanam sasa
Watu MNA PhD ya mitusi,ila kwa iboya ni saizi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…