SIWEZI KUBISHANA NA MTU ANAYETUMIA SEHEMU YAKE YA HAJA KUBWA KUINGILIWA NA WANAUME WEWE NI SHOGA TUKwa mtu unayetumia njia yako ya haja kubwa kufikiri huwezi kumuelewa utaishia kuporomosha matusi kama mlivyofundishwa na yule aliyeko jehanam sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIWEZI KUBISHANA NA MTU ANAYETUMIA SEHEMU YAKE YA HAJA KUBWA KUINGILIWA NA WANAUME WEWE NI SHOGA TUKwa mtu unayetumia njia yako ya haja kubwa kufikiri huwezi kumuelewa utaishia kuporomosha matusi kama mlivyofundishwa na yule aliyeko jehanam sasa
SIBISHANI NA MASHOGA MIMIWatu MNA PhD ya mitusi,ila kwa iboya ni saizi yake
Kwan Mungu ni wa kwao peke yao?Kuna watu wanaomba Novena leo siku ya 5
Wewe ni mpuuzi kabisa . Yaani mwenziyo kubambikwa kesi wewe unachukulia poa !!. Wenziyo kutandikwa risasi za bila mpango kwako ni poa !!Duu umesema ukweli mkuu. Ila nakuona umeelemea Sana kwa Mbowe.
Huyo jamaa ni particle tu ndogo sio kuwa maisha yetu hayataenda bila mbowe.
Mbona watu ni wengi wamebambikiziwa kesi ndugu.
Ningependa ukajikita katika mfumo wa uongozi na katiba mpaya.
Ila inaonekana unateseka na Mbowe ama lisu ama jpm.
Iko ivi usijione kuwa u Bora kuliko wengine ama u dhaifu kuliko wengine.
Ukiwa kiongozi sio kuwa una akili unaowaongoza ndugu. Elewa ilo.
Yaani Taifa tuache kufanye Mambo ya msingi tuanze kumuwazia mbowe.
Mbona watu ni wengi waliokamatwa.
Lisu kupigwa na je akwilina aliyekuwa vipi.
Damu zetu ziko sawa
SIBISHANI NA MASHOGA MIMI
Hapa ndipo Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula wanapochemka.Kuna watu wanaomba Novena leo siku ya 5.
Kila mtu aliyeguswa anasali kwa imani yakeHapa ndipo Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula wanapochemka.
Hao vijana wameonekana wanasali ktk Kanisa la KKKT.
Mwamakula ameandila Novena yenye kibwagizo "Mwanakondoo Ameshinda" kama kwamba Chadema ni ya Wakristo pekee.
Sasa CHADEMA maana yake ni "Chama cha Demokrasia na Mwanakondoo Ameshinda."
Sheria ya vyama vya siasa inakataza vyama vya kidini.
Chama hiki kitafutwa kwa sababu hii, pamoja na ile nyingine.
Nafanya unabii tu.
Mama Amon. Nawe umechemka .Hapa ndipo Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula wanapochemka.
Hao vijana wameonekana wanasali ktk Kanisa la KKKT.
Mwamakula ameandila Novena yenye kibwagizo "Mwanakondoo Ameshinda" kama kwamba Chadema ni ya Wakristo pekee.
Sasa CHADEMA maana yake ni "Chama cha Demokrasia na Mwanakondoo Ameshinda."
Sheria ya vyama vya siasa inakataza vyama vya kidini.
Chama hiki kitafutwa kwa sababu hii, pamoja na ile nyingine.
Nafanya unabii tu.
BASI UNAINGILIWA KINYUME NA MAUMBILELazima una taaluma ya ushoga,hakuna hoja ya ushoga inayojadiliwa.
Hofu: Religion is a double agent of good and evil.Kila mtu aliyeguswa anasali kwa imani yake
Kama viongozi huwa wanawaambia watu wawaombee, siyo mbaya hata wapinzani nao kuombewa.
Kuombea mtu dua siyo kinyume cha sheria.
Wakiifuta Chadema napo pia tutawashitaki kwa Mungu
Hata watawala huombewaHofu: Religion is a double agent of good and evil.
MTANZANIABagonza ni CCM au Chadema?
Katika masuala ambayo Bagonza anayatumia kisiasa ni tozo za miamala ya simu.Yaani hukuona hoja hapo mpaka ukimbilie udini ?! Hoja za tozo na ubambikaji vyesi hujaziona isipokuwa umeuona udini !!.
JIREKEBISHEHana msimamo , ukisoma atakuzungusha zungusha kama kichwa chake kilivyo pendulum. Hawezi kujenga msimamo wenye kujenga.
Bendela ya matukio.
Damu isiyo na hatia isipokomboa huangamiza na mateso ya mwenye haki ni hukumu kwa matawala asiyeona dhuluma.Anaandika Askofu Bagonza
Chanjo Mbowe ,Katiba mpya, Tozo za miamala na Rais Samia.
Mambo haya 5 yameshikilia mustakabali wa nchi kwa sasa. Amani, haki, Maendeleo na ustawi vinatikiswa. Jiulize:
1. Kwa nini itumike nguvu na jitihada za ziada kuwaaminisha watu wakachanje wakati afya ni mali yao?
2. Kwa nini wana CCM wapinge chanjo wakati afya ni sera ya ilani yao ya Uchaguzi?
3. Kwa nini suala la Mbowe kufunguliwa mashtaka ya ugaidi linapigiwa kelele na watu bila kujali itikadi zao?
4. Kwa nini tozo za mihamala zimeligawa bunge na serikali na kuusambaratisha uwajibikaji wa pamoja?
5. Kwa nini madai ya Katiba Mpya sasa yanaanza kusikika ndani ya CCM kuliko ilivyokuwa katika awamu ya 5?
6. Kwa nini watu wengi wakiwamo Wana CCM wanamlaumu Rais SSH kwa yote 4 (Mbowe, Tozo, Katiba Mpya na Chanjo)?
Ukweli usiotamkwa
a). Awamu ya 5 ilimwaga sumu kali kupinga chanjo na uwepo wa Corona. Waliopinga chanjo na corona hawawezi kuvinadi leo ikakubalika. Watafutwe wengine kutoka makundi yote.
b). Serikali na Chama tawala vimegawanyika juu ya chanjo. Kila mtu anatamani katiba mpya inayoruhusu Rais kuhojiwa bila ya anayehoji kupata madhara. Kuna wengi waliomuunga mkono lakini sasa wanafikiri vinginevyo.
c). Tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe zimeligawa Taifa. Zimefuta mazuri yote ya awamu ya 6. Zimechochea madai ya Katiba Mpya. Waliomshauri Rais hawalitakii mema Taifa. Hata chama tawala wanataka haki za Binadamu. Urais uko mnadani.
c). Mpaka sasa mawaziri (wa fedha na Waziri wa Miamala ya simu) hawajatoa hoja zenye nguvu kuhalalisha tozo za juu kwa watumiaji. Wengi wanaona mawaziri wanamhujumu Rais au Rais ameruhusu kuhujumiwa.
d). Rais Samia ni "Rais wa Katiba" kwa mujibu wa Katiba. Kuna "wapotoshaji" pande zote (CCM na Upinzani) wanaosema Rais hapendi katiba mpya kwa sababu hii anaiona nzuri kwa kumleta madarakani. Muungano huu wa "wapotoshaji" si salama kwa Rais. Rais ana fursa nzuri ya kuweka historia. Anaelekea kuipoteza.
Muhimu
Kumshikilia Mbowe kwa tuhuma zinazoonekana "bambikizi", kunaua uwezekano wa maridhiano na mazungumzo ya kuliunganisha Taifa.
Taifa lililogawanyika
-Haliwezi kujibu ushirikina wa
kisomi (conspiracy)
-Haliwezi kuchanja chanjo kikamilifu
-Haliwezi kuingia vita dhidi ya corona
-Haliwezi kuwa na bajeti endelevu
-Linaongozwa na nguvu kuliko akili
-Haliwajibiki kwa pamoja mbele ya
umma
-Huwaona raia kuwa maadui wa Taifa.
Damu isiyo na hatia isipokomboa huangamiza na mateso ya mwenye haki ni hukumu kwa matawala asiyeona dhuluma.
Kuna watu wanaomba Novena leo siku ya 5.
Mungu yupi hana monopoly? Unajingishwa na unakubali vipi wakati una akili timamu?Hata watawala huombewa
Mingu hana monopoly, kila mtu aombe
Mama Amon.Katika masuala ambayo Bagonza anayatumia kisiasa ni tozo za miamala ya simu.
He is misdirecting himself intentionally.
Nimesoma maandiko yake yote juu ya jambo hili.
Nimemsikiliza MariaSpaces
Na hatimaye naona ni under-informed kuhusu jambo hili.
Hana hoja zaidi ya kuchonganisha kambi hasimu.
Hayo ndiyo maoni yangu kwako.
MtanzaniaBagonza ni CCM au Chadema?