Askofu Bagonza: Kuna watu wanasali Novena kumlilia Mungu leo siku ya tano

Wewe ni mpuuzi kabisa . Yaani mwenziyo kubambikwa kesi wewe unachukulia poa !!. Wenziyo kutandikwa risasi za bila mpango kwako ni poa !!

Umepungukiwa hekima kama siyo akili . Wafuasi wa watawala mnatia kinyaa
Mkuu ni wangapi wanaobambikiwa kesi.unajua bosi wa mabasi ya champion mbona amefariki aliokotwa kwa kiroba.
Pia watu kufanyiwa matukio Kama haya kila nchi yanafanyika sema huwa hawakutangazii Mana wao Wana control ni Nini kisikike kwa jirani

Sasa wewe Mambo ya familia yenu mnapanga vizuri pale ndani mkiwa familia yote baba mama na ndugu zako afu unajifanya Kama una akili Sana unaenda nje kusema ya kwenu kwa majirani kisa labda una maslahi Fulani.
Yaani unamhujumu familia yako.
Unadhani baba yako atakufanyaje.

Kubambikiziwa kesi mkuu sio mbowe tu hebu tembelea mahakama ama magereza ongea na wafungwa ama mahabusu jamani.
Si unapigania haki.
Kuna watu wanasingiziwa wamebaka kumbe sio.

Kama wewe mpigani haki hebu fanya uchunguzi Ila tu usiwe mpigani mbowe.
Masuala ya kuabudu mtu as if yeye ndiye anayetupa pumzi sio kabisa man.
Otherwise awe mmeo so umemisi pigo zake chumbani mpaka unaweweseka hauli
 
Hahahaaaa umewapa ukweli ili watulie pumbavuuuuuuuuuuuuu
 
Mama alipoingia alidai hataki kesi za kubambika . Na kuiamuru Takukuru na jeshi la police kujikagua . Na kweli kesi nyingi zikafutwa. Sasa hiki kinachofanyika leo ni nini Ka si ubambikaji kesi ?!.

Mambo ya ndani yapi hamtaki yatoke nje ?!. KATIBA MPYA !!. Hili si swala la hisani ya mtawala bali la wananchi dhidi ya mtawala wao.
 
Ikifika wakati watu watadai wenyewe mkuu ujue ilo.
Pia jaji a person kwa vitendo Bali sio kwa asemalo.
Pia jikite kucheki life lako zaidi.mana Nina Imani hakuna raisi atakayeweka ugali Mezani kwako ama kwangu
 
Sina tatizo na uhuru wa kuongea.

Naamini katika dialectical method of philosophical reasoning.

Mbinu hii haiwezekani bila vichwa viwili, vitatu kugonganisha mawazo.

Tatizo langu: intentional disinformation, intentional malinfrmation.

Bagonza anaumwa magonjwa haya mawili.

Naona haya ni magonjwa sugu kwenye kichwa chake.

Kwa esposure aliyo nayo, yeye sio mtu wa kupinga tozo zoooote, kuanzia tozo kwenye miamala hadi property tax kwenye sim card.

Bila shaka ana ajenda yake ya siri.

Na ajenda yake hii hapa:


"Ukweli usiotamkwa (a). Awamu ya 5 ilimwaga sumu kali kupinga chanjo na uwepo wa Corona. Waliopinga chanjo na corona hawawezi kuvinadi leo ikakubalika. Watafutwe wengine kutoka makundi yote."

Anataka serikali ya mseto kisirisiri.
Nani atakubali hoja hiyo na kwa sababu gani?

Nadhani sasa umefunguka macho.
 
SIWEZI KUBISHANA NA MTU ANAYETUMIA SEHEMU YAKE YA HAJA KUBWA KUINGILIWA NA WANAUME WEWE NI SHOGA TU
Shughuli yako hiyo inayokuweka mjini, mshukuru yule Mwarabu jirani yenu aliyekutatua marinda wakati ule ukiwa dogo kabisa yule ndiye kakufungulia njia ya kujipatia rizki hapa mjini.
 
Sasa msitupigie mikelele yenu hapa wakati kitu kabla hakijawa sheria mlikuwa busy kusaini petition ya kumtoa Diamond kwenye tuzo za BET
 
Katiba mpya itacheleweshwa tu lakini wakati ni sasa. Mama akitaka kutawala kwa utulivu na mafanikio aachie mchakato haumzuii kufanya maendeleo
 
Msimwingize Mwenyezi Mungu katika siasa.
 
Huyo ndiye Bagonza.

Ajibiwe kwa hoja
 
kusema kweli ccm wanatakiwa kuongoza nchi kwa utashi wa Mungu, iache kumkumbatia yule aliye kinyume na Mungu kwani hasira ya Mungu inawaka juu yao.
 
c). Tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe zimeligawa Taifa. Zimefuta mazuri yote ya awamu ya 6. Zimechochea madai ya Katiba Mpya. Waliomshauri Rais hawalitakii mema Taifa. Hata chama tawala wanataka haki za Binadamu. Urais uko mnadani.
Kuna wakati huwa napata shida kuelewa umakini wa Bagonza. Angalia anachosema:

  1. Tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe zimeligawa Taifa--hadi hapo mahakama itakapoamua kesi iliyo mahakamani.
  2. Zimefuta mazuri yote ya awamu ya 6--katika vivhwa vya wale ambao wanaamini kwamba tuhuma sio za kweli.
  3. Zimechochea madai ya Katiba Mpya--hata kama yalianza kabla ya kesi dhidi ya Mbowe.
  4. Waliomshauri Rais hawalitakii mema Taifa--ikiwa tuhuma sio za kweli.
  5. Hata chama tawala wanataka haki za Binadamu--kama ambavyo vyama vyote vya upinzani, ikiwemo chadema, wanataka haki.
  6. Urais uko mnadani--Hitimisho
Hakuna hoja hapa zaidi ya chokochoko zisizo na kichwa wala mkia.

This is disinformation.

And disinformation is a kind of violence.
 
Yaani wewe na akili zako unaamini maelezo ya Polisi kuwa Mbowe ni gaidi alitaka kulipua vituo vya petrol station? —Wakati mwingine uwe unatumia common sense
 
Bagonza ndiyo nani nchi hii? Bora angeongea Ruwa'ich au Pengo.Hawa maaskofu wanatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…