Askofu Bagonza: Kuna watu wanasali Novena kumlilia Mungu leo siku ya tano

na kuna washauri wa rais wanamshauri aige style ya awamu ya 4 asijali maneno ya watu yenye achanje mbuga tu mtaongea mchana na usiku mtalala 😀 😀 😀 😀 😀
 
Sala/mafungo ya Novena sio sala ya kawaida kwa wale waliokulia kwenye ukristo kweli kweli wanaijua nguvu yake na husaliwa kwa siku tisa mfululizo. Lakini Novena ili iwe Novena ni lazima wanaoisali wawe watu wenye mioyo safi na uonevu/madai wanayoyapeleka kwa Mungu ni lazima yawe ya kweli yasiwe ya uongo. Lakini si wakati wote inatumika kwenye uonevu/madai tu bali pia mtu anaweza kuitumia pale anapokuwa anaomba kitu fulani au anapokuwa na shida fulani na anaomba Mungu amsaidie kupata suluhisho.

Kwa hiyo hao aliosema Dr. Bagonza kuwa wanasali Novena nafikiri waachwe wasali kwa imani yao kama watakuwa wasafi wa mioyo na wana madai ya kweli hakika Mungu atawajibu kwa wakati wake anaoona unafaa. Lakini kama ni madai ya uongo basi yatapita hivi hivi tu kama upepo na maisha yataendelea kama kawaida.
 
Kwanini umeamua kusomea ujinga!
 
Umesema sawa kabisa...Ukimtathimini huyu Askofu, yeye ni dikteta mzuri kuliko hata anaowatuhumu tena ana ego ya hali ya juu. Serikali haijakataza mtu kuchanja wala haijawanyima haki walio na doubts kuhusu chanjo kuikataa, hii ni demokrasia ya hali ya juu, ila yeye anataka kulazimisha watu wakachanjwe kwakua yeye anaiamini chanjo na hataki kuona mtu yeyote aliyekinyume na hicho anacho amini yeye anapewa haki yake...Huyu ni very selfish being, hakuna uaskofu hapo zaidi ya ushetani ambao unaji exercise kupitia maneno yake na matendo yake. Mimi kama mkristo mwenzake na haki ya kumnyooshea kidole kwakua katika hayo hakuna ukristo...Ukristo hauhusu wala hauwakosei adabu wengine, kisha haufanyi mambo yake yenyewe...

Kisha ni mtu asiyeeleweka kama anasimamia mambo ya kiroho au ya ki siasa...Kama ni askofu anachotafuta kwa watanzania ambao siyo wakriato ni nini? Akalihutubie kanisa lake kama afanyavyo Askofu Gwahima na siyo kujipa platform ya nchi nzima kwa maandiko yake kama vile alichaguliwa kwa katiba ya Tanzania...Hiyo ni insurbodination kwa Rais wa Tanzania ambaye ametoa uhuru kwa watanzania wa aina zote na kwakufanya hivuo ameilinda katiba ya nchi hii kisha ndiye aliyeliunganisha taifa kinyume na yeye anayetaka ku impose imani yake kwa watanzania hata ambao siyo wa kanisa lake.

He is just another attention seeker and selfish being, sorry to say this!
 
Nilitaka niifute hiyo '' Like'' moja uliyojiwekea ubakize negative like, lakini nimeshindwa, bahati yako
 
Mungu mwenyewe atatukumboa watanzania kwenye hila na udhalimu wa CCM. Mungu tunaomba utusaidie
 
Hili nalo nenO!
 
Mwanafilosoph ya dini.
Ukitaka akuchambulie mambo huwa haegemei upande wowote.
Ila ukimchukulia kwa haraka waweza ona kama mpinzani.

Ni tabia za akina Sheikh Ponda(Maono kwanza)
Siku zote wanafalsafa husema yaliyo sahihi fanya na jamii

Tatizo huchukiwa na watawala
 
Akili yako fupi Sana kumwelewa bagonza Rudi shule ukapigwe msasa
 
MaCCM akili zenu hazina akili kabisa, kila mtu mtamuona Audi yenu, kwa kua mmepoteza dira na muelekeo.
Futeni tu vyama vingi , au mnaogopa mtakosa hela za Mabeberu. Pumbavu kabisa.
 
MaCCM akili zenu hazina akili kabisa, kila mtu mtamuona Audi yenu, kwa kua mmepoteza dira na muelekeo.
Futeni tu vyama vingi , au mnaogopa mtakosa hela za Mabeberu. Pumbavu kabisa.
hahaaaa acha huu mchezo hauhitaji hasira utaumia kisaccos henu ndiyo hoiiii bin taaban mbwe ananyea debe huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…