Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

happyxxx

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
604
Reaction score
1,970
Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais.

Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais, na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa, kusisitiza nani kaomba kukutana, usuluhishi unahitaji restraint, Rais anapotoshwa, Lissu akiendeshwa na mashabiki"

Pia soma
- BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi
- Summary ya Maongezi ya Rais Samia na Tundu Lissu yaliyofanyika Ubelgiji

1.jpg
 
Rroho na ikuume tu. Nchi imelipuka kwa shangwe.

Sioni kosa la Bagonza ni maoni yake tu.

Tundu hakukutana na Rais kuomba maji, barabra na umeme. Kaongea maswala mtambuka ya watanzania kama Taifa.

Ni mambo yale yale ya siku zote. Siri ya nini?
 
Roho inaniuma mimi au Bagonza niliyemnukuu?
 
Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais.

Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais,na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa,kusisitiza nani kaomba kukutana,usuluhishi unahitaji restraint ,Rais anapotoshwa,Lissu akiendeshwa na mashabiki"

Kwa hili napingana na Dkt Boganza. Lissu kafanya vema sana kusema ukweli & uwazi wa kilicho zungumzwa! La sivyo wachawi wasingekawia kumtungia stories za kusaliti au kusalimu amri!
 
Naunga mkono!

Lissu hana kifua kipana kama Mbowe!
Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais.

Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais, na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa, kusisitiza nani kaomba kukutana, usuluhishi unahitaji restraint, Rais anapotoshwa, Lissu akiendeshwa na mashabiki"

Pia soma
- BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi
- Summary ya Maongezi ya Rais Samia na Tundu Lissu yaliyofanyika Ubelgiji

Heshima kuu askofu,
Jana picha zilirushwa na taaarifa ya Ikulu ikarushwa kuwa Lissu kakutana na Samia lakini haikuishia hapo ikaeleza kuwa Lissu aliomba kukutana na Samia.Ukiangalia tayari kuna watu waliokuwa wanataka kuiweka katika hali isiyo ya kawaida.Clubhouse ilianza usiku huo na katika viongozi wakuu wa CDM waliozungumza ni Lema na Msigwa na wote waliomba wachangaiaje wajikite katika kulichukulia tukio hilo positively na wakaeleza kuwa imebidi Lissu atoe summary ya kilichozungumzwa kwani kuna upotoshaji ulishaanza kusambazwa.
 
Back
Top Bottom