Haswa na walishaanza!!Kwa hili napingana na Dkt Boganza. Lissu kafanya vema sana kusema ukweli & uwazi wa kilicho zungumzwa! La sivyo wachawi wasingekawia kumtungia stories za kusaliti au kusalimu amri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswa na walishaanza!!Kwa hili napingana na Dkt Boganza. Lissu kafanya vema sana kusema ukweli & uwazi wa kilicho zungumzwa! La sivyo wachawi wasingekawia kumtungia stories za kusaliti au kusalimu amri!
All is possible, labda walikubaliana na Samia kuwa unaweza kutoa kidogo tulichoongea.Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais.
Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais, na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa, kusisitiza nani kaomba kukutana, usuluhishi unahitaji restraint, Rais anapotoshwa, Lissu akiendeshwa na mashabiki"
Pia soma
- BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi
- Summary ya Maongezi ya Rais Samia na Tundu Lissu yaliyofanyika Ubelgiji
hapa kweli Lissu katelezaNaunga mkono!
Lissu hana kifua kipana kama Mbowe!
Yap itakuwaAll is possible, labda walikubaliana na Samia kuwa unaweza kutoa kidogo tulichoongea.
Pole- any way maoni yako ni stahiki yako ila baki nayo- LISSU KAKOSEA , KAMKOSEA ADABU RAIS NA AMEMCHONGANISHA NA WATUKwa hili napingana na Dkt Boganza. Lissu kafanya vema sana kusema ukweli & uwazi wa kilicho zungumzwa! La sivyo wachawi wasingekawia kumtungia stories za kusaliti au kusalimu amri!
ULISHAYAONA WAPI YA HIVYO.Yaani daktari ndiyo awatangazie jamaa wa marehemu musiba na siku ya kuzika?! Kazi ya daktari inaishia kusema mgonjwa kafa basiYap itakuwa
OkeyULISHAYAONA WAPI YA HIVYO.Yaani daktari ndiyo awatangazie jamaa wa marehemu musiba na siku ya kuzika?! Kazi ya daktari inaishia kusema mgonjwa kafa basi
KaribuOkey
Kwani kaongea nini kibaya?Kuna mtu nimewah kumwambia kuwa Lissu sio sawa na Mbowe.Lissu ni mwanaharakati mwenye mihemko kariba ya john heche,msigwa,sugu,mdude,ni tofauti na Mbowe,mnyika na salum Mwalim ilitosha kuzungumza na rais then akae kimya asubir utekelezaji vinginevyo inaonekana km kutaka kumdrive rais anaweza kukosa vyote km kipindi cha katiba ya WARIOBA ni ushauri wangu binafsi apunguze mihemko
sante mkuuKaribu
Kazi iendeleesante mkuu
Pole- any way maoni yako ni stahiki yako ila baki nayo- LISSU KAKOSEA , KAMKOSEA ADABU RAIS NA AMEMCHONGANISHA NA WATU
Hajaongea vibaya kasema tu asiyopaswa kusemaKwani kaongea nini kibaya?
ziara ya Rais ilelenga kukutana na Lissu ili aweke hali ya hewa Safi huko Duniani so far Rais aliitisha mkutano na vyama vya siasa chadema waligoma Sasa hapo nani mshindi? Think big buder.Kumbe Lisu alikaguliwa?
Kitendo hicho kimemnchukiza sana bagonza!
Inaonekana hii ya kusema Lisu ndio kaomba kuonana na rais inawauma sana machadema!
Yenyewe yalitaka isomeke, Rais kaomba kuonana na Lisu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kipi hukupaswa kusema?Hajaongea vibaya kasema tu asiyopaswa kusema