Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Hayo ndio mawazo yenu mnavyotaka iwe!Una utindio wa ubongo wala sio bure, ziara ya Rais ilelenga kukutana na Lissu ili aweke hali ya hewa Safi huko Duniani so far Rais aliitisha mkutano na vyama vya siasa chadema waligoma Sasa hapo nani mshindi? Think big buder.
Ndio maana unaona bagonza amefura sana baada ya kusambaa kwa picha akikaguliwa kuonesha kwamba yeye ndio aliomba kuonana na rais!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app