Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

hapa kweli Lissu kateleza
Mkuu hapo tuta differ kidogo. Ukiangalia kwa makini, wasaidizi wa Ikulu na vuvuzela wa ccm walitaka kuanza kupotosha kwa kufanya neno "LISSU AMEOMBA KUKUTANA NA RAIS" kama agenda kuu. Kwani Rais atakutana na mpinzani wake kama tunavyokutana club au harusini? Lazima kuwe na maombi na nafasi ya ratiba iruhusu.

Lissu aliliona hilo la "ameomba" linaelekea kutumika vibaya hivyo amewa preempty kabla ya kufika mbali kwa kutoa contents za kikao chao kwani hakikuwa cha siri na amesifia maelewano ya walichozungumza na hata lugha ya picha inaonyesha.

Na kwa vile tamko la Ikulu limejieleza na hakuna pahala kauli ya Lissu ilupopingwa basi ni dhahiri lengo la Lissu limetimia.
 
Sikiliza wewe- Lissu kakosea na kakosea big time
 
Sijui ni kwanini Tundu Lissu ametoa wapi kihere here cha kukutana na huyu mama!
 
Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais.

Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais, na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa, kusisitiza nani kaomba kukutana, usuluhishi unahitaji restraint, Rais anapotoshwa, Lissu akiendeshwa na mashabiki"

Pia soma
- BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi
- Summary ya Maongezi ya Rais Samia na Tundu Lissu yaliyofanyika Ubelgiji

Siri ndio chanzo cha wizi,ufisadi na mikataba mibovu.

Lissu ni mtumishi wetu na anawajibika kwetu sisi wananchi na wanachama,siri ya nini wakati matatizo yetu yanajulikana!?

Hizo siri mfanye na hao wenza wenu sio ktk kazi hizi za wananchi.
 
Rroho na ikuume tu. Nchi imelipuka kwa shangwe.
Sioni kosa la Bagonza ni maoni yake tu.

Tundu hakukutana na Rais kuomba maji, barabra na umeme. Kaongea maswala mtambuka ya watanzania kama Taifa.

Ni mambo yale yale ya siku zote. Siri ya nini?
Achana nao. Wamezoea mambo ya gizani.
 
Kwa kuwa Askofu ametoa maoni yake bila kuyajenga kwenye msingi ama wa kisheria,Kikatiba au Kibiblia, anaweza kuwa ana HOJA iliyojificha ndani ya nyama au mifupa ila itoshe kusema kwamba MAMA ni Mama na ameonyesha ROHO ya huruma, upendo na Kujali; Yeye atakuwa anajua reactions ya kukutana naye na itakuwa imefanyika analysis na evaluation of what if nk. Ni muhimu sote tukatambua kwamba kabla ya Jinsia zetu au vyama vyetu vya SIASA, sisi ni binadamu na ni Watanzania; mengine yote yatastawi ndani ya ubinadamu wetu na utanzania wetu. Rais ameithibitishia DUNIA kwamba yeye ni wa watanzania wote, hana ubaguzi wa aina yeyote,anawajali wakubwa kwa wadogo nk. Nampongeza Tundu kwa ujasiri wake wa kushirikisha yale waliyoongea off camera kwa maslahi mapana ya NCHI yetu, Mungu ibariki Tanzania, Mbarikia na Rais wake.
 
Lissu inaonekana alikua na kiu ya kuonana na mama. Sura yake imejaa bashasha. Unaweza kufikiri ameomba kurudi nyumbani, ingawa hilo hakulisema.
 
Mkuu hapo tuta differ kidogo. Ukiangalia kwa makini, wasaidizi wa Ikulu na vuvuzela wa ccm walitaka kuanza kupotosha kwa kufanya neno "LISSU AMEOMBA KUKUTANA NA RAIS" kama agenda kuu. Kwani Rais atakutana na mpinzani wake kama tunavyokutana club au harusini? Lazima kuwe na maombi na nafasi ya ratiba iruhusu.
Lissu aliliona hilo la "ameomba" linaelekea kutumika vibaya hivyo amewa preempty kabla ya kufika mbali kwa kutoa contents za kikao chao kwani hakikuwa cha siri na amesifia maelewano ya walichozungumza na hata lugha ya picha inaonyesha.
Na kwa vile tamko la Ikulu limejieleza na hakuna pahala kauli ya Lissu ilupopingwa basi ni dhahiri lengo la Lissu limetimia.
Kweli asee
 
Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais.

Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais, na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa, kusisitiza nani kaomba kukutana, usuluhishi unahitaji restraint, Rais anapotoshwa, Lissu akiendeshwa na mashabiki"

Pia soma
- BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi
- Summary ya Maongezi ya Rais Samia na Tundu Lissu yaliyofanyika Ubelgiji

Kweli
 
Naunga mkono!

Lissu hana kifua kipana kama Mbowe!
John na wenzako mnamnyanyasa Mbowe ili ikiwezekana aachie uenyekiti, lakini siku Mbowe akiachia na nafasi hiyo kushikiliwa na Lisu mtakumbuka, na mtakuwa mmefanya kosa la kiufundi
 
Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais.

Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais, na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa, kusisitiza nani kaomba kukutana, usuluhishi unahitaji restraint, Rais anapotoshwa, Lissu akiendeshwa na mashabiki"

Pia soma
- BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi
- Summary ya Maongezi ya Rais Samia na Tundu Lissu yaliyofanyika Ubelgiji

Ni kweli na hii inaonyesha hafai kuwa kiongozi mkubwa.

Rais kamheshimu amemfuata unless wangaitisha press ya pamoja.

Mh.Rais next time achana na Hawa wajinga wasio na adabu wala wasiojoelewa.
 
Kuna mtu nimewah kumwambia kuwa Lissu sio sawa na Mbowe.Lissu ni mwanaharakati mwenye mihemko kariba ya john heche,msigwa,sugu,mdude,ni tofauti na Mbowe,mnyika na salum Mwalim ilitosha kuzungumza na rais then akae kimya asubir utekelezaji vinginevyo inaonekana km kutaka kumdrive rais anaweza kukosa vyote km kipindi cha katiba ya WARIOBA ni ushauri wangu binafsi apunguze mihemko
Mbowe ni mtu mwenye kifua na mnaweza fanya compromise ila sio mtu kama Lisu,ni dizaini ya Mwendazake wote waropokaji tuu.
 
Kama kwenye statement ya Ikulu kusingekuwa na maneno "LISSU aliomba kukutana na Rais" ambayo mwandishi na wahafudhina walitaka kuaminisha Umma kwamba Mama Samia hakuwa na haja ya kukutana na Lissu ila shida zake zimemfanya aombe, wala LISSU asingeongea kiundani walichojadili kama unavyoona. Ili kuepusha upotoshaji wa wana CCM akaona aweke hints za alichomwambia na siyo walichoongea ndo maana hapo hakuna maneno ambayo Samia amemwambia LISSU.
Mwenye shida ni Samia au Lisu? Aliyewahi kuomba kukutana na Rais ni Lisu au Samia?

Narudia tena mh.Rais next time usikutane tena na Hawa wajinga ,ni kupapotezea tuu .
 
ziara ya Rais ilelenga kukutana na Lissu ili aweke hali ya hewa Safi huko Duniani so far Rais aliitisha mkutano na vyama vya siasa chadema waligoma Sasa hapo nani mshindi? Think big buder.
Unatumia nguvu kubwa sana kumuelewesha huyo taga, hao tunawapuuzaga [emoji706]
 
  • Thanks
Reactions: Exy
Tupieni basi picha tukiona Lissu akikaguliwa. Maneno bila picha hayanogi.
 
Mwenye shida ni Samia au Lisu? Aliyewahi kuomba kukutana na Rais ni Lisu au Samia?

Narudia tena mh.Rais next time usikutane tena na Hawa wajinga ,ni kupapotezea tuu .
Uzuri ni kuwa SSH utu wake na busara zake zimepitiliza. Kuna wengine humu wangetamani TL wammalizie either kipindi akiwa hospitali au kule Ubelgiji.

Taifa linakuwa imara zaidi kama tunatofautiana mitizamo.
Let's embrace diversity!
 
Back
Top Bottom