Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Mkuu hapo tuta differ kidogo. Ukiangalia kwa makini, wasaidizi wa Ikulu na vuvuzela wa ccm walitaka kuanza kupotosha kwa kufanya neno "LISSU AMEOMBA KUKUTANA NA RAIS" kama agenda kuu. Kwani Rais atakutana na mpinzani wake kama tunavyokutana club au harusini? Lazima kuwe na maombi na nafasi ya ratiba iruhusu.hapa kweli Lissu kateleza
Lissu aliliona hilo la "ameomba" linaelekea kutumika vibaya hivyo amewa preempty kabla ya kufika mbali kwa kutoa contents za kikao chao kwani hakikuwa cha siri na amesifia maelewano ya walichozungumza na hata lugha ya picha inaonyesha.
Na kwa vile tamko la Ikulu limejieleza na hakuna pahala kauli ya Lissu ilupopingwa basi ni dhahiri lengo la Lissu limetimia.