Roho inaniuma mimi au Bagonza niliyemnukuu?Rroho na ikuume tu. Nchi imelipuka kwa shangwe.
Sioni kosa la Bagonza ni maoni yake tu.
Tundu hakukutana na Rais kuomba maji, barabra na umeme. Kaongea maswala mtambuka ya watanzania kama Taifa.
Ni mambo yale yale ya siku zote. Siri ya nini?
Dhahir BwasheeNaunga mkono!
Lisu hana kifua kipana kama Mbowe!
wacha tu roho ikuume. Kama umechukia kampige Samia sasa tuone.Mashabiki wa Chadema ni kama waumini wa mwamposa, nabii shila au gwajima.
Kwao hakunaga kitu inaitwa logic ni mahaba tu kwenda mbele.
Ni protocal za kawaida ni utamaduni wa kidiplomasia na kiintelijensia.Kumkaribia Rais lazima upigwe parapata, tena kabla ya hapo umepitia scanner
Hili somo liende moja kwa moja kwa Spika, Jaji Mkuu na IGp.
Wao ni kushangilia tu watakachoambiwa.Mashabiki wa Chadema ni kama waumini wa mwamposa, nabii shila au gwajima.
Kwao hakunaga kitu inaitwa logic ni mahaba tu kwenda mbele.
Sasa huyu anayeshangaa halielewi hilo?Ni protocal za kawaida ni utamaduni wa kidiplomasia na kiintelijensia.
Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais.
Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais,na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa,kusisitiza nani kaomba kukutana,usuluhishi unahitaji restraint ,Rais anapotoshwa,Lissu akiendeshwa na mashabiki"
Amerejea uungwana wake tangu zama zile za "biti" la kutowajulia hali wagonjwa wapinzani. Katika hili, Mama kaupiga mwingi na ame"bold" hulka yake ya kujali. Hongera kwake.
Hizo ndo siasa... mbona nyie ccm imewafanya wananchi mazezeta kwa miaka hiyo yote hadi leo??
Naunga mkono!
Lissu hana kifua kipana kama Mbowe!
Heshima kuu askofu,Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais.
Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais, na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa, kusisitiza nani kaomba kukutana, usuluhishi unahitaji restraint, Rais anapotoshwa, Lissu akiendeshwa na mashabiki"
Pia soma
- BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi
- Summary ya Maongezi ya Rais Samia na Tundu Lissu yaliyofanyika Ubelgiji