Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
4R's za mh.Rais Samia zina mawanda mapana sana.
REFORM:
Huko nyuma hatukuona ujenzi wa barabara zetu wakipewa "PPP-ubia wa sekta binafsi na serikali" zaidi ya hatua za wizara ya uchukuzi(ujenzi)pekee.
Mh.Rais Samia amekuja na mikakati hii mipya akiichagiza "REFORM" kwa kuihusisha "PPP" na miradi tofauti , mathalani huu ujenzi wa barabara ya kutoka Handeni-Kiberashi-Chemba-Singida(340kms).
Mh.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipata kuiasa WIZARA YA MAMBO YA NDANI kupandisha vyeo na madaraja watumishi wake kwa falsafa ya REFORM ya mh.Rais Samia sambamba na kuibua miradi ya maendeleo katika taasisi zao.Hii haina maana kuwa kabla ya "REFORM ya 4R's" kulikosekana kupandishwa madaraja kwa watumishi wa wizara hiyo na pia kulikosekana ubunifu wa miradi ya kiuchumi bali ni kule kukufanya bora zaidi kwa kasi ya "4R's" ya mh.Rais wetu.
HITIMISHO:
"REFORM " ya zile 4R's za mh.Rais Samia ni jambo adhimu na pana sana linalogusa pia mambo ANUAI ya KIUCHUMI na KIUWEKEZAJI na si tu kisiasa ,kijamii na kidiplomasia.
Niwatakie daku (suhuur) jema enyi wafungaji wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan !
#Mwenyezi Mungu alilinde na kulihifadhi taifa tukufu la Tanzania ,aaamin aaamin !!