Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
ogopa kiongozi wa dini ambae haogopi kudhulumu kingono watoto wa waamini wake,

Uchoko unakusumbua!ogopa kiongozi wa dini ambae haogopi kudhulumu kingono watoto wa waamini wake,
kalikawe aache unafiki![]()
Baba Askofu alichokisema umekielewa au umekimbilia kujibu Hoja nzito kwa majibu ya kihuni > Sisi waliowengi walio hapa Nchini tumemuelewa. Hata huku kwetu tunawaogopa wale wachache kama wewe ambao hamuogopi Hali Ilivyo kwa sasa Hapa Nchini. Sisi wazalendo wa Nchi hii tunaogopa hali iliyopo kwa sasa. Ila wachache akina nyinyi mliokwisha ondolewa ile Yellow Matter , Ni kweli tunawaogopa ila Hatuwashangai kwa namna mlivyo. Tunaomba Baba Askofu Awaombee Msamaha, maana Hamujui Mlifanyalo wala Mlinenalo !ogopa kiongozi wa dini ambae haogopi kudhulumu kingono watoto wa waamini wake,
kalikawe aache unafiki![]()
Kwa Akili Yako Huwezi kuwaelewa. Akili Fupi Haiwezi kuielewa Akili Ndefu kama ya Baba Askofu Dr Asiyepindisha ukweli.Upuuzi mtupu
Nilikuwa bongo wiki ilipita yaani Dar nzima kila mtu yuko na maisha yake
Sanasana ni kelele nyingi za maspika ya wamachinga
Na Nilikuwa pia town mara mbili zote Lissu anapelekwa mahakamani kulikuwa kimya mitaa yote ya posta ya zamani
Hawa viherehere wa makanisa wanawashwawashwa…
Yesu aliwambia wafuasi wake, kuwa Kuna watu wana Macho lakini hawaoni, wana masikio lakini Hawasikii.Kuna Hali gani ya kutisha kama si kusababisha taharuki?
Huyu ni Askofu wa Taifa
Huyo askofu ni kichwa pumbuKwa Akili Yako Huwezi kuwaelewa. Akili Fupi Haiwezi kuielewa Akili Ndefu kama ya Baba Askofu Dr Asiyepindisha ukweli.
Wewe ni mpumbavu sana Tena sana! Chawa mpuuzi, rubbish! Alidhulumu kingono mtoto shangazi yako?ogopa kiongozi wa dini ambae haogopi kudhulumu kingono watoto wa waamini wake,
kalikawe aache unafiki![]()
We dogo, huwezi elewa mabandiko ya Baba Askofu Dr (PhD) Bagonza. Karudi shule kwanza, umejaza fuvu lako kwa maandiko ya Madrasa !Huyo askofu ni kichwa pumbu
Anawalenga wale mbulula wenye fuvu za tope na kamasi zaidi ni wale wanaoishi maporini am so hawajui kinachoendelea
Mwambie ukweli huyo *****!Uchoko unakusumbua!