Askofu Bagonza: Namwogopa mtu ambaye haogopi hali iliyopo nchini kwa sasa

Askofu Bagonza: Namwogopa mtu ambaye haogopi hali iliyopo nchini kwa sasa

Ni kipi wanatuzidi hao Kenya hadi useme kwanini isiwe kama Kenya kwenye maandamano. Mbona hatuwazidi kwa viwanda? Au mfano hup huuoni?





Na hii siokwa nchi nzima =, maana huko niaibu tupu
Hii ya mtu mmojammoja....

1756410807691.png


Any Questions?...............
Nime edit swali lako......
 
Upuuzi mtupu
Nilikuwa bongo wiki ilipita yaani Dar nzima kila mtu yuko na maisha yake
Sanasana ni kelele nyingi za maspika ya wamachinga
Na Nilikuwa pia town mara mbili zote Lissu anapelekwa mahakamani kulikuwa kimya mitaa yote ya posta ya zamani
Hawa viherehere wa makanisa wanawashwawashwa…
Endelea kushupaza shingo CCM mna mwisho mbaya sana mwaka huu. Ni muda mfupi kuanzia sasa.✍️📌
 
Endelea kushupaza shingo CCM mna mwisho mbaya sana mwaka huu. Ni muda mfupi kuanzia sasa.✍️📌
Ndio tatizo la vilaza...
Huwa hamsikilizi mapindi darasani ya mwalimu, halafu mnakurupuka kujibu mitihani na madesa ya kumbumba.....
Wapi nimesema mimi ni CCM AU CHADEMA AU CHAUMA..?.....
 
Watu wanapagawa na nchi inasonga mbele. Mama ndio anategemea kuanza rasmi mihula yake miwili yaani 2025 to2035.
 
Na sisi Umma wa walio wengi, tunatambua Hali ilivyo na tuko naye bega kwa bega ! Ila tunatoka je kwenye hii Hali? Baba Askofu angetupa mwanga nini cha kufanya, maana tayari tunajua Hali ilivyo na hatuwezi kuiacha ibakie kama ilivyo. La sivyo tutakuja kuhukumiwa kwa ukimya wetu wakati mambo yalipokuwa yameenda ndivyo isivyo. Tusiwe kama Yule Mzee wa Msoga aliyesema kuwa "Hatutegemei Kufanya Mabadiliko labda Mambo yaharibike Hapa Katikati" Sijui yeye hajaona Hali ilivyo kwa sasa? Baba Bagonza Fafanua zaidi labda na Huyu mzee wa Msoga naye ataelewa kuwa Hali haiko shwari ili aweze kufanya hayo mabadiliko aliyosubilisha.
Mungu ana maajabu yake, hakuna aliyetarajia jpm ataondoka kama alivyoondoka malalamiko yalikuwa ni mengi sana juu ya kuminywa kwa haki za watu, tuwe wavumilivu Mungu atanyoosha njia na wote tutakuwa salama.
 
Ndio tatizo la vilaza...
Huwa hamsikilizi mapindi darasani ya mwalimu, halafu mnakurupuka kujibu mitihani na madesa ya kumbumba.....
Wapi nimesema mimi ni CCM AU CHADEMA AU CHAUMA..?.....
You need a serious and immediate psychological therapy. Una tatizo la afya ya akili.✍️
 
Back
Top Bottom