Askofu Bagonza: Namwogopa mtu ambaye haogopi hali iliyopo nchini kwa sasa

Upuuzi mtupu
Nilikuwa bongo wiki ilipita yaani Dar nzima kila mtu yuko na maisha yake
Sanasana ni kelele nyingi za maspika ya wamachinga
Na Nilikuwa pia town mara mbili zote Lissu anapelekwa mahakamani kulikuwa kimya mitaa yote ya posta ya zamani
Hawa viherehere wa makanisa wanawashwawashwa…
Mweupe Kichwani wewe ! Huwezi kumuelewa, acheni sisi of His Caliber tucomment kwenye mabandiko yake
 
Usimlaumu sana lakini huyo mpuuzi sio kosa lake.

Wakati wazazi wetu wengi wako bize kutupeleka shule yeye mzazi wake alikuwa anampeleka msikitini aende akalinde ndala na kujifunza lugha ya kiarabu. Matokeo yake ndio amekuwa hivyo tunavyomuona.
 
Nyinyi vichwa pumbu wawili tuweke ligi hapa ya na mimi kiwango cha elimu na nchi uliosomea hio elimu, vilaza nyinyi wote.
Na huyo askofu kichwa pumbu hio phd yake ya upupu wa theolojia za kusadikika hata mwalimu wa kiswahili ana faida nchini kuliko hizo tope za theolojia alizosomea.
 
Upuuzi mtupu
Nilikuwa bongo wiki ilipita yaani Dar nzima kila mtu yuko na maisha yake
Sanasana ni kelele nyingi za maspika ya wamachinga
Na Nilikuwa pia town mara mbili zote Lissu anapelekwa mahakamani kulikuwa kimya mitaa yote ya posta ya zamani
Hawa viherehere wa makanisa wanawashwawashwa…
Kwamba watu kukaa kimya ndio uliona wameridhika?
 
Nyinyi vichwa pumbu wawili tuweke ligi hapa ya na mimi kiwango cha elimu na nchi uliosomea hio elimu, vilaza nyinyi wote.
Na huyo askofu kichwa pumbu hio phd yake ya upupu wa theologia za kusadikia hata hata mwalimu wa kiswahili ana faida nchini kuliko hizo tope za theolojia alizosomea.
Sasa unapanick kwa nini?
 
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.

Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi.

Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
🐼

Wakati Yesu Kristo anakamatwa na kundi la Askari wa Kiyahudi Petro hakuogopa akamkata mmoja sikio

Ila baadae alipofuatwa na akina mama wapambe ( Chawa) ndio akaogopa na kuwaambia huku akijiapiza “ Simjui Mtu Huyu
 
Nyinyi vichwa pumbu wawili tuweke ligi hapa ya na mimi kiwango cha elimu na nchi uliosomea hio elimu, vilaza nyinyi wote.
Na huyo askofu kichwa pumbu hio phd yake ya upupu wa theologia za kusadikia hata hata mwalimu wa kiswahili ana faida nchini kuliko hizo tope za theolojia alizosomea.
WOW!!
 
Kwamba watu kukaa kimya ndio uliona wameridhika?
Ni aidha wameridhika sana au mafisi waoga
Kwanini isiwe kama Kenya ambapo wakizinguliwa nashindwa hata kwenda kwenye shughuli zangu maana Nairobi yote inakuwa ni no go area.

Sasa unapanick kwa nini?
Kuna huu ujinga wa kizamani mnaamini bado ya kuwa kuna jamii fulani imesoma kuzidi wengine
Sasa hapo ndio tunakata ngebe wenyewe wanalala mbele….
Halafu mara nyingi ni wale vilaza wa kielimu hupenda kujiona hivyo
 
ogopa kiongozi wa dini ambae haogopi kudhulumu kingono watoto wa waamini wake,

kalikawe aache unafiki :NoGodNo:
Yaani wewe ndiyo wakuogopwa sababu unayajua madudu yote yanayotendeka lakini umekubali kulipwa ili kuwatetea wahalifu
 
Upuuzi mtupu
Nilikuwa bongo wiki ilipita yaani Dar nzima kila mtu yuko na maisha yake
Sanasana ni kelele nyingi za maspika ya wamachinga
Na Nilikuwa pia town mara mbili zote Lissu anapelekwa mahakamani kulikuwa kimya mitaa yote ya posta ya zamani
Hawa viherehere wa makanisa wanawashwawashwa…
Huu ulinzi wa nini kwenye kampeni kama Dar iko shwari
 
Maeneo ya wapi?
Weka picha?
Nilizunguka Dar nzima na gari mpaka mitaa ya ikulu njia zinapitika
Au uko maporini unahadithiwa kwenye magrupu ya wasap
 
Muwe mnaona aibu kungekuwa shwari watu wangekuwa wanatekwa kila siku
 
Ni aidha wameridhika sana au mafisi waoga
Kwanini isiwe kama Kenya ambapo wakizinguliwa nashindwa hata kwenda kwenye shughuli zangu maana Nairobi yote inakuwa ni no go area.

Kuna huu ujinga wa kizamani mnaamini bado ya kuwa kuna jamii fulani imesoma kuzidi wengine
Sasa hapo ndio tunakata ngebe wenyewe wanalala mbele….
Halafu mara nyingi ni wale vilaza wa kielimu hupenda kujiona hivyo
Ni kipi tunawazidi hao Kenya hadi useme kwanini isiwe kama Kenya kwenye maandamano. Mbona hatuwazidi kwa viwanda? Au mfano hup huuoni?
 
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.

Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi.

Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
JPM Alikalia kuwatumikia Watanzania akajisahau Usalama wake, Bibi hawezi kufanya Kosa kama Hilo. Jembe alikalia kuimba HAPA KAZI TU , akasahau jambo la Msingi kazini la USALAMA KWANZA !
 
Back
Top Bottom