Ni kipi wanatuzidi hao Kenya hadi useme kwanini isiwe kama Kenya kwenye maandamano. Mbona hatuwazidi kwa viwanda? Au mfano hup huuoni?
Askofu Bagonza: Mungu akimpendeza atatenda tena.
Jukwaa la Siasa
- Started by Allen Kilewella
- Saturday at 2:30 PM
- Replies: 16
Nyinyi vichwa pumbu mmekula kona...?Usimlaumu sana lakini huyo mpuuzi sio kosa lake.
Wakati wazazi wetu wengi wako bize kutupeleka shule yeye mzazi wake alikuwa anampeleka msikitini aende akalinde ndala na kujifunza lugha ya kiarabu. Matokeo yake ndio amekuwa hivyo tunavyomuona.
Endelea kushupaza shingo CCM mna mwisho mbaya sana mwaka huu. Ni muda mfupi kuanzia sasa.✍️📌Upuuzi mtupu
Nilikuwa bongo wiki ilipita yaani Dar nzima kila mtu yuko na maisha yake
Sanasana ni kelele nyingi za maspika ya wamachinga
Na Nilikuwa pia town mara mbili zote Lissu anapelekwa mahakamani kulikuwa kimya mitaa yote ya posta ya zamani
Hawa viherehere wa makanisa wanawashwawashwa…
Ndio tatizo la vilaza...Endelea kushupaza shingo CCM mna mwisho mbaya sana mwaka huu. Ni muda mfupi kuanzia sasa.✍️📌
Unalipwa sh ngapiHuyo askofu ni kichwa pumbu
Anawalenga wale mbulula wenye fuvu za tope na kamasi zaidi ni wale wanaoishi maporini ambao hawajui kinachoendelea
.mdogo wangu usichanganye bange na ugoro
Ni mzigo mzuri..lakini je wajukuu resources watazikuta..??
litaka azaliahwe yeye pamoja na dada yakeUchoko unakusumbua!
Mungu ana maajabu yake, hakuna aliyetarajia jpm ataondoka kama alivyoondoka malalamiko yalikuwa ni mengi sana juu ya kuminywa kwa haki za watu, tuwe wavumilivu Mungu atanyoosha njia na wote tutakuwa salama.Na sisi Umma wa walio wengi, tunatambua Hali ilivyo na tuko naye bega kwa bega ! Ila tunatoka je kwenye hii Hali? Baba Askofu angetupa mwanga nini cha kufanya, maana tayari tunajua Hali ilivyo na hatuwezi kuiacha ibakie kama ilivyo. La sivyo tutakuja kuhukumiwa kwa ukimya wetu wakati mambo yalipokuwa yameenda ndivyo isivyo. Tusiwe kama Yule Mzee wa Msoga aliyesema kuwa "Hatutegemei Kufanya Mabadiliko labda Mambo yaharibike Hapa Katikati" Sijui yeye hajaona Hali ilivyo kwa sasa? Baba Bagonza Fafanua zaidi labda na Huyu mzee wa Msoga naye ataelewa kuwa Hali haiko shwari ili aweze kufanya hayo mabadiliko aliyosubilisha.
You need a serious and immediate psychological therapy. Una tatizo la afya ya akili.✍️Ndio tatizo la vilaza...
Huwa hamsikilizi mapindi darasani ya mwalimu, halafu mnakurupuka kujibu mitihani na madesa ya kumbumba.....
Wapi nimesema mimi ni CCM AU CHADEMA AU CHAUMA..?.....