Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Askofu yuko vizuri sana. Hatishwi na jiwe!Bagonza askofu wa Chadema.
CCM 1 Vs Chadema 1.hapo ni bilabila.
ngoja CCM watapachika la pili ila msianze kulalamika kwenye mitandao.
Sio gwajima mkuu Bali mcheza film za ngono wa ccmGwajima wa CCM
Hana chama,anachofanya ni kutii mamlaka,baas.
Kwani siasa ni nini?Huyu si aliambiwa na mkuu wake askofu Shoo kwamba wajitenge na siasa?
Bagonza yeye anajipendekeza kwa Chadema.Kuna kutii na kujipendekeza.
Na ambayo hujawataja hapa no maaskofu wa ccm!Bagonza askofu wa Chadema.
Askofu ana mahaba na utawala bora, utawala wa kuheshimu katiba na kuruhusu demokrasia itamalaki. Wewe ndio mwenye mahaba na Magufuli ukiomba dua apite bila KUJIPIMA NA LISSU.Moja kati ya watu watamumia endapo Lisu atakatwa ni huyu Bagonza!
Jamaa ana mahaba kwa Lisu vibaya mno.
Bagonza yeye anajipendekeza kwa Chadema.
Ndiyo! Askofu wa dayosisi ya Karagwe,Kwani Bagonza ni mlutheri?
Ni haki yake, iheshimiweMoja kati ya watu watamumia endapo Lisu atakatwa ni huyu Bagonza!
Jamaa ana mahaba kwa Lisu vibaya mno.