Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechanganya.. Hao ni dini tifautiHuyu si aliambiwa na mkuu wake askofu Shoo kwamba wajitenge na siasa?
6. Naye ana kadi ya chama na ni kamanda?Anajitengaje wakati..
1. Naye ni mpiga kura?
2. Naye ataishi maisha yote yanayoamuliwa na siasa?
3. Naye ataongozwa na rais atakayetokana na chama cha siasa?
4. Naye ataongozwa na mbunge atakayetokana na chama cha siasa?
5. Naye ataongozwa na diwani atakayetokana na chama cha siasa?
Kuwa na kadi ya chama sina uhakika... ila kwamba anaongozwa na rais anayetoka chama cha siasa, HIYO NINA UHAKIKA...6. Naye ana kadi ya chama na ni kamanda?
Delete ccm Oct 28UCHAGUZI MKUU
au
UTEKAJI MKUU
au
UJAZAJI FOMU MKUU
Kutokana na vyombo vingi vya habari kuwa likizo katika msimu huu, jamii inakosa habari muhimu. Magazeti mengi, TV na Redio vimepelekwa likizo kwa muda mpaka mwezi Novemba. Vyombo vichache vilivyobaki vina matatizo makubwa shingoni. Vinabaki vimeangalia upande mmoja maana vikigeuza shingo ili kuangalia upande mwingine, vinasikia maumivu makali. Matokeo yake, matukio mengi yamehamia upande wa pili wakati shingo limeendelea kuangalia eneo lisilo na matukio.
Kuna mtafaruku. Wengi tuliamini huu ni msimu wa UCHAGUZI MKUU. Taarifa za vyombo visivyo rasmi zinadai ni msimu wa UTEKAJI MKUU. Na vyombo visivyo na usajiri wa TCRA vinasema huu ni msimu wa UJAZAJI FOMU MKUU. Ipo haja ya kushtuka:
1. Wanaozusha kutekwa na wanaoteka kweli wajue, haiwezekani kuteka mapenzi ya watu. Hakuna adhabu kubwa kwa kiongozi kama kuongoza miili tu huku mioyo iliongozwa na waliotekwa.
2. Kujaza fomu si mtihani wa taifa. NEC inunue mifuto ya kutosha. Wananchi wanataka mtu awaongoze, si fomu iliyojazwa vizuri au vibaya. Mnanibishia? Nendeni muwaulize. Wagombea pia ni wapiga kura. Taarifa zao mnazo zote kupitia kadi zao za NIDA na NEC.
3. Mpaka sasa, vyama vya siasa havina shida baina yao . Wanachama wanajuana mambo yao. Ndo maana mmoja anakatwa huku, kesho yake anachukua fomu kule. Tatizo ni vyombo vya serikali. Nani avifundishe kuwa ugomvi wa Baba wa Mama usiingiliwe na watoto?. Wachukue mpira wakacheze uwanjani. Wakirudi jioni watakuta Baba na Mama tayari wanacheka na mdogo wao amezaliwa.
4. Kuna uhusiano mkubwa kati ya UHURU na UCHAGUZI MKUU. Hakuna uhusiano kati ya UTEKAJI MKUU na maendeleo. Wala hakuna uhusiano wowote kati ya UJAZAJI FOMU MKUU na Utawala Bora. Cha msingi ndani ya UCHAGUZI MKUU kuna Uhuru, Maendeleo, Utawala Bora ambavyo vikiungamishwa vinakomesha UTEKAJI MKUU na kuboresha UJAZAJI FOMU MKUU.
Nawasihi wanaopongeza, wanaokosoa, wanaofoka foka, wanaotafuta wasio raia, waliokwepa kodi na wachochezi, wasihangaike kutumia dawa ya bei mbaya. Dawa kuu ya kukomesha hayo yote ni UCHAGUZI MKUU, si UTEKAJI MKUU wala UJAZAJI FOMU MKUU.
UCHAGUZI MKUU uliofanyika kwa haki na kwa Uhuru unatibu magonjwa hayo.
Askofu Bagonza
Na Gwajima ni nani wa CCM? Gwajima kugombea Kawe hachanganyi dini na siasa? Au anayechanganya ni yule mwenye mawazo mbadalaBagonza askofu wa Chadema.
Wewew usie na ufinyu wa akili unaoanaje?Kwa wenye UFINYU wa akili kama wewe.
UCHAGUZI MKUU
au
UTEKAJI MKUU
au
UJAZAJI FOMU MKUU
Kutokana na vyombo vingi vya habari kuwa likizo katika msimu huu, jamii inakosa habari muhimu. Magazeti mengi, TV na Redio vimepelekwa likizo kwa muda mpaka mwezi Novemba. Vyombo vichache vilivyobaki vina matatizo makubwa shingoni. Vinabaki vimeangalia upande mmoja maana vikigeuza shingo ili kuangalia upande mwingine, vinasikia maumivu makali. Matokeo yake, matukio mengi yamehamia upande wa pili wakati shingo limeendelea kuangalia eneo lisilo na matukio.
Kuna mtafaruku. Wengi tuliamini huu ni msimu wa UCHAGUZI MKUU. Taarifa za vyombo visivyo rasmi zinadai ni msimu wa UTEKAJI MKUU. Na vyombo visivyo na usajiri wa TCRA vinasema huu ni msimu wa UJAZAJI FOMU MKUU. Ipo haja ya kushtuka:
1. Wanaozusha kutekwa na wanaoteka kweli wajue, haiwezekani kuteka mapenzi ya watu. Hakuna adhabu kubwa kwa kiongozi kama kuongoza miili tu huku mioyo iliongozwa na waliotekwa.
2. Kujaza fomu si mtihani wa taifa. NEC inunue mifuto ya kutosha. Wananchi wanataka mtu awaongoze, si fomu iliyojazwa vizuri au vibaya. Mnanibishia? Nendeni muwaulize. Wagombea pia ni wapiga kura. Taarifa zao mnazo zote kupitia kadi zao za NIDA na NEC.
3. Mpaka sasa, vyama vya siasa havina shida baina yao . Wanachama wanajuana mambo yao. Ndo maana mmoja anakatwa huku, kesho yake anachukua fomu kule. Tatizo ni vyombo vya serikali. Nani avifundishe kuwa ugomvi wa Baba wa Mama usiingiliwe na watoto?. Wachukue mpira wakacheze uwanjani. Wakirudi jioni watakuta Baba na Mama tayari wanacheka na mdogo wao amezaliwa.
4. Kuna uhusiano mkubwa kati ya UHURU na UCHAGUZI MKUU. Hakuna uhusiano kati ya UTEKAJI MKUU na maendeleo. Wala hakuna uhusiano wowote kati ya UJAZAJI FOMU MKUU na Utawala Bora. Cha msingi ndani ya UCHAGUZI MKUU kuna Uhuru, Maendeleo, Utawala Bora ambavyo vikiungamishwa vinakomesha UTEKAJI MKUU na kuboresha UJAZAJI FOMU MKUU.
Nawasihi wanaopongeza, wanaokosoa, wanaofoka foka, wanaotafuta wasio raia, waliokwepa kodi na wachochezi, wasihangaike kutumia dawa ya bei mbaya. Dawa kuu ya kukomesha hayo yote ni UCHAGUZI MKUU, si UTEKAJI MKUU wala UJAZAJI FOMU MKUU.
UCHAGUZI MKUU uliofanyika kwa haki na kwa Uhuru unatibu magonjwa hayo.
Askofu Bagonza
Huu mwaka haramu watatenda, ikulu hawaendi wataishia jela na kesi za uhaini zitawahusuUchafuzi Mkuu wa yesu wa lugola na genge lake la wahuni wenyewe wanapenda kujiita maccm.
Bila kutenda HARAMU hawa wahuni Ikulu hawarudi.
AAASANTE KIONGOZI WA KIROHO, NI PALE VIONGOZI WENZAKO WANASHANGILIA HAYO UNAYO WAONYA WASIYAFANYE
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tupo katika kipindi ambacho vyombo vya dola nchini vinatakiwa kutumia busara kubwa ili kuepusha nchi dhidi ya kutokea mpasuko wa kijamii. Hakuna jambo baya kama vyombo hivyo kuonesha upendeleo wa wazi dhidi ya kundi fulani la kisiasa kwa upande mmoja huku kwa upande mwingine ikilinyanyasa kundi jingine. Husababisha madonda ya kitaifa ambayo huchukua miongo kadhaa kupona. Tusifike huko. Tu/na nafasi ya kufanya vizuri katika uchaguzi huu na tukavuka kama taifa tukiwa wamoja.
Mungu ibariki Tanzania
wasiojulikana sasa mnawajua, na wanao watuma mnawajua, Lissu usihangaike wa waliokupiga risasi, angaika na aliyewatumaUCHAGUZI MKUU