Uchaguzi 2020 Askofu Bagonza: Uchaguzi Mkuu au Utekaji Mkuu au Ujazaji fomu Mkuu?

Baba Askofu Mungu akubari sana. Wewe ni mfano wa Askofu mkuu Desmond Tutu wa Afrika Kusini.

Atakayekupinga hapa anapaswa akapimwe akili
 
Reactions: BAK
6. Naye ana kadi ya chama na ni kamanda?
 
Delete ccm Oct 28
 

Tupo katika kipindi ambacho vyombo vya dola nchini vinatakiwa kutumia busara kubwa ili kuepusha nchi dhidi ya kutokea mpasuko wa kijamii. Hakuna jambo baya kama vyombo hivyo kuonesha upendeleo wa wazi dhidi ya kundi fulani la kisiasa kwa upande mmoja huku kwa upande mwingine ikilinyanyasa kundi jingine. Husababisha madonda ya kitaifa ambayo huchukua miongo kadhaa kupona. Tusifike huko. Tu/na nafasi ya kufanya vizuri katika uchaguzi huu na tukavuka kama taifa tukiwa wamoja.

Mungu ibariki Tanzania
 
Reactions: BAK
Uchafuzi Mkuu wa yesu wa lugola na genge lake la wahuni wenyewe wanapenda kujiita maccm.

Bila kutenda HARAMU hawa wahuni Ikulu hawarudi.
Huu mwaka haramu watatenda, ikulu hawaendi wataishia jela na kesi za uhaini zitawahusu
 
Uko vizuri Mkuu ahsante sana πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½

 
wasiojulikana sasa mnawajua, na wanao watuma mnawajua, Lissu usihangaike wa waliokupiga risasi, angaika na aliyewatuma
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…