Na kweli karibu wote wameisha amebaki Ndugai
Kwa hizi laana anazopata Ndugai sidhani kama huu mwaka utakwisha salama!! Lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli karibu wote wameisha amebaki Ndugai
Madhara ya kufikiri kwa makalio.Baba ako mwenye ushawishi mbona hafanyi?
MUNGU KILA SIKU NAMSHUKURU NA NDIYE ANANILINDA HUYO ANASHINDWA KUCHUNGA KONDOO ANAINGILIA SIASA SASA KAMA SIYO UHUNI NI NINI ?ukifika mei mosi mshukuru sana Mungu
MSIPANGE KAZI ZA MUNGU MTALAANIWA BUREKwa hizi laana anazopata Ndugai sidhani kama huu mwaka utakwisha salama!! Lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
BABAYAKO NDIYO MUITE HIVYOJiite Liboya 2021 jina zuri sana
HUYO ASKOFU NDIYO SHETANI ATACHANGANYAJE KAZI YA MUNGU NA UHUNI WA SIASA?Shetani hajawahi kumshinda Mungu
MSIPANGE KAZI ZA MUNGU MTALAANIWA BURE
Mkizidiwa hoja mnakimbilia mabeberuAskofu au mhuni mmoja tu kama wahuni wengine huyu atakuwa amekula hela za mabeberu alikuwa na uhakika lissu atashinda urais sasa akakosa amebaki kuacha uchungaji na kuwa mwana siasa sasa hivi naye atakimbilia ulaya kuolewa aseme amekuwa mkimbizi wa kisiasa
SASA WEWE HAPO UNAFIKIRI MSULI WA MATAKO UNAMTOKA KWAAJILI YA WA TZ? KALA HELA ZA MABEBERU HUYO SIYO ASKOFUMkizidiwa hoja mnakimbilia mabeberu
Kuwatembelea wafungwa,wagonjwa,wajane na yatima ndio dini ya kweli mafundisho yanasema.shida ni kwamba, ukiingiza dini kwenye siasa, yaani askofu kugeuka kuwa mwanasiasa, atahubiria kwenye makanisa na atagawa watu kwa minajili ya dini. kama kutoa maoni angetoa tu huko kanisani kwake, ila kuondoka na kwenda magerezani hapo naona ameibip serikali muda mrefu ameona haimpigiii analazimisha impigie ili apate cha kuongea. imagine kama mashehe nao wangekuwa wanaenda magerezani au kuandamana mitaani kama yeye, wachungaji nao hivyohivyo, tungekuwa na nchi hapa? hako kajamaa sijui kalizaliwa wapi, na kamesoma uingereza kwa mabasha huko, kataleta usodoma? inamaana kanisa la moravian ndio limemtuma afanye hayo anayoyafanya?
Kama ajafunja sheria sio kosa.SASA WEWE HAPO UNAFIKIRI MSULI WA MATAKO UNAMTOKA KWAAJILI YA WA TZ? KALA HELA ZA MABEBERU HUYO SIYO ASKOFU
Mwanakondoo ameshinda hatuna budi kumfuata.Mungu ametushindia Waliobambikwa watakuwa huru.Askofu wa kanisa gani na huo uaskofu alipewa na nani, atashona na kuvaa mavazi ya kiaskofu au hata kofia feki za kiaskofu wakati hata kanisa hana wala halijulikani
Waombe ndugu zako wakupeleke hospitali. Watu wenye magonjwa ya akili huwa hawajitambui kama wanaumwa. Walio wazima wanaangalia matendo yao na kauli, wanajua kuwa huyu ni magonjwa.Askofu au mhuni mmoja tu kama wahuni wengine huyu atakuwa amekula hela za mabeberu alikuwa na uhakika lissu atashinda urais sasa akakosa amebaki kuacha uchungaji na kuwa mwana siasa sasa hivi naye atakimbilia ulaya kuolewa aseme amekuwa mkimbizi wa kisiasa
ANAEUMWA NI MAMA YAKO NA HUYO ASKOFU WENUWaombe ndugu zako wakupeleke hospitali. Watu wenye magonjwa ya akili huwa hawajitambui kama wanaumwa. Walio wazima wanaangalia matendo yao na kauli, wanajua kuwa huyu ni magonjwa.
Kwa uliyoyaandika, wewe unaumwa..Nenda hospitali hata kama unaamini kuwa huumwi, ndivyo magonjwa ya akili yalivyo.
Pole sana. Nakutakia uponyaji wa haraka.
Ndugai nae Hana is MudaNa kweli karibu wote wameisha amebaki Ndugai
Tatizo ni kwamba, ama huna dini, au huyajui maandiko.shida ni kwamba, ukiingiza dini kwenye siasa, yaani askofu kugeuka kuwa mwanasiasa, atahubiria kwenye makanisa na atagawa watu kwa minajili ya dini. kama kutoa maoni angetoa tu huko kanisani kwake, ila kuondoka na kwenda magerezani hapo naona ameibip serikali muda mrefu ameona haimpigiii analazimisha impigie ili apate cha kuongea. imagine kama mashehe nao wangekuwa wanaenda magerezani au kuandamana mitaani kama yeye, wachungaji nao hivyohivyo, tungekuwa na nchi hapa? hako kajamaa sijui kalizaliwa wapi, na kamesoma uingereza kwa mabasha huko, kataleta usodoma? inamaana kanisa la moravian ndio limemtuma afanye hayo anayoyafanya?
Huyu askofu hana ushawishi kabisa yaani kila tukio analofanya anaonekana ni kituko.
Ndiyo maana nakushauri, waulize ndugu zako, kama wanakuona ni mzima. Hakuna mwenye afya njema ya akili, anayetamka haya unayotamka wewe.ANAEUMWA NI MAMA YAKO NA HUYO ASKOFU WENU
Mtumishi wa mungu akisema ukweli mnasema Ni siasa mnataka nani akemee haya Kuna watu wamepata mateso nchi hii watu wako kimya wakitokea viongozi wa dini wenye hofu na mungu kukemea mna waitaa shetani mungu anawaona unamnyoshea mtumishi wa mungu kidole ole wako .HUYO ASKOFU NDIYO SHETANI ATACHANGANYAJE KAZI YA MUNGU NA UHUNI WA SIASA?