Askofu Bandekile Mwamakula aungana na Bavicha kusalimia Wafungwa wa kisiasa waliolundikwa kwenye Magereza za Tanzania tangu uchaguzi wa 2020

Askofu au mhuni mmoja tu kama wahuni wengine huyu atakuwa amekula hela za mabeberu alikuwa na uhakika lissu atashinda urais sasa akakosa amebaki kuacha uchungaji na kuwa mwana siasa sasa hivi naye atakimbilia ulaya kuolewa aseme amekuwa mkimbizi wa kisiasa
Mkizidiwa hoja mnakimbilia mabeberu
 
shida ni kwamba, ukiingiza dini kwenye siasa, yaani askofu kugeuka kuwa mwanasiasa, atahubiria kwenye makanisa na atagawa watu kwa minajili ya dini. kama kutoa maoni angetoa tu huko kanisani kwake, ila kuondoka na kwenda magerezani hapo naona ameibip serikali muda mrefu ameona haimpigiii analazimisha impigie ili apate cha kuongea. imagine kama mashehe nao wangekuwa wanaenda magerezani au kuandamana mitaani kama yeye, wachungaji nao hivyohivyo, tungekuwa na nchi hapa? hako kajamaa sijui kalizaliwa wapi, na kamesoma uingereza kwa mabasha huko, kataleta usodoma? inamaana kanisa la moravian ndio limemtuma afanye hayo anayoyafanya?
Kuwatembelea wafungwa,wagonjwa,wajane na yatima ndio dini ya kweli mafundisho yanasema.
 
Askofu wa kanisa gani na huo uaskofu alipewa na nani, atashona na kuvaa mavazi ya kiaskofu au hata kofia feki za kiaskofu wakati hata kanisa hana wala halijulikani
Mwanakondoo ameshinda hatuna budi kumfuata.Mungu ametushindia Waliobambikwa watakuwa huru.
 
Askofu au mhuni mmoja tu kama wahuni wengine huyu atakuwa amekula hela za mabeberu alikuwa na uhakika lissu atashinda urais sasa akakosa amebaki kuacha uchungaji na kuwa mwana siasa sasa hivi naye atakimbilia ulaya kuolewa aseme amekuwa mkimbizi wa kisiasa
Waombe ndugu zako wakupeleke hospitali. Watu wenye magonjwa ya akili huwa hawajitambui kama wanaumwa. Walio wazima wanaangalia matendo yao na kauli, wanajua kuwa huyu ni magonjwa.

Kwa uliyoyaandika, wewe unaumwa..Nenda hospitali hata kama unaamini kuwa huumwi, ndivyo magonjwa ya akili yalivyo.

Pole sana. Nakutakia uponyaji wa haraka.
 
ANAEUMWA NI MAMA YAKO NA HUYO ASKOFU WENU
 
shida ni kwamba, ukiingiza dini kwenye siasa, yaani askofu kugeuka kuwa mwanasiasa, atahubiria kwenye makanisa na atagawa watu kwa minajili ya dini. kama kutoa maoni angetoa tu huko kanisani kwake, ila kuondoka na kwenda magerezani hapo naona ameibip serikali muda mrefu ameona haimpigiii analazimisha impigie ili apate cha kuongea. imagine kama mashehe nao wangekuwa wanaenda magerezani au kuandamana mitaani kama yeye, wachungaji nao hivyohivyo, tungekuwa na nchi hapa? hako kajamaa sijui kalizaliwa wapi, na kamesoma uingereza kwa mabasha huko, kataleta usodoma? inamaana kanisa la moravian ndio limemtuma afanye hayo anayoyafanya?
Tatizo ni kwamba, ama huna dini, au huyajui maandiko.

Mathayo 25:36

"Nilikuwa uchi, mkanivika; nilikuwa mgonjwa nanyi mkaja kunitazama; nilikuwa gerezani nanyi mkaja kunitembelea.’

Hongera Baba Askofu kwa maana unayaishi maandiko.
 
ANAEUMWA NI MAMA YAKO NA HUYO ASKOFU WENU
Ndiyo maana nakushauri, waulize ndugu zako, kama wanakuona ni mzima. Hakuna mwenye afya njema ya akili, anayetamka haya unayotamka wewe.

Toka mwanzo, nimehisi una tatizo la afya ya akili, sishtuki na haya unayoropoka. Zaidi unazidi uthibitisha nilichodhania. Watu wenye matatizo ya akili wanaweza kunena na kutenda lolote.

Mungu akusaidie, upone haraka. Ongea na ndugu zako wa karibu.
 
HUYO ASKOFU NDIYO SHETANI ATACHANGANYAJE KAZI YA MUNGU NA UHUNI WA SIASA?
Mtumishi wa mungu akisema ukweli mnasema Ni siasa mnataka nani akemee haya Kuna watu wamepata mateso nchi hii watu wako kimya wakitokea viongozi wa dini wenye hofu na mungu kukemea mna waitaa shetani mungu anawaona unamnyoshea mtumishi wa mungu kidole ole wako .
 
Back
Top Bottom