citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
Kimbilia Kenya halafu tafuta nchi yakwendaHii ndio Taarifa aliyoisambaza mitandaoni siku ya leo , kwamba kuna watu wabaya wamefika Karagwe kwa lengo la kummaliza , bali amejiapiza kwamba hatokimbia na anasubiri watekeleze Unyama wao .
Binafsi siwezi kupuuza taarifa hii ya kiharamia kutokana na ukweli kwamba sasa tuko kwenye Tanzania mpya ambayo wote waliotoa taarifa za kuwindwa hawakulindwa hadi wakaumia ama kupotea , Lissu na Ben Saa Nane ni mifano halisi , mpaka leo Polisi hawana maelezo yaliyonyooka zaidi ya kumung'unya maneno tu .
Mungu mbariki Baba Askofu Bagonza
Kale kamzula kekunduAskofu anastukia kivuli chake!!
kama kuna usaliti wowote kafanya, afanye toba mapema.
Saa inakuja ambayo kila mtu atalipwa kulingana na matendo yake.
Kofia ya uaskofu haitasaidia wakati ukiwadia.
Duh Bagonza inabidi ifike muda atulie tu, maana anawasemea kuna siku watamdissapoint, yani wanasiasa hawaaminikia hata kidogoHii ndio Taarifa aliyoisambaza mitandaoni siku ya leo , kwamba kuna watu wabaya wamefika Karagwe kwa lengo la kummaliza , bali amejiapiza kwamba hatokimbia na anasubiri watekeleze Unyama wao .
Binafsi siwezi kupuuza taarifa hii ya kiharamia kutokana na ukweli kwamba sasa tuko kwenye Tanzania mpya ambayo wote waliotoa taarifa za kuwindwa hawakulindwa hadi wakaumia ama kupotea , Lissu na Ben Saa Nane ni mifano halisi , mpaka leo Polisi hawana maelezo yaliyonyooka zaidi ya kumung'unya maneno tu .
Mungu mbariki Baba Askofu Bagonza
Mtafuta kiki, akiona hajadiliwi anatafuta Kiki. Hivi kweli watake kummaliza ili kwasababu zipi za Msingi anazozifahamu mwenyewe cz yasije yakawa ya Ben Saanane Kujiteka, Abdul Nondo Kujiteka yoote ikiwa ni kutaka kutengeneza taharuki kwenye jamii huuu ni upuuuuzi.Hii ndio Taarifa aliyoisambaza mitandaoni siku ya leo , kwamba kuna watu wabaya wamefika Karagwe kwa lengo la kummaliza , bali amejiapiza kwamba hatokimbia na anasubiri watekeleze Unyama wao .
Binafsi siwezi kupuuza taarifa hii ya kiharamia kutokana na ukweli kwamba sasa tuko kwenye Tanzania mpya ambayo wote waliotoa taarifa za kuwindwa hawakulindwa hadi wakaumia ama kupotea , Lissu na Ben Saa Nane ni mifano halisi , mpaka leo Polisi hawana maelezo yaliyonyooka zaidi ya kumung'unya maneno tu .
Mungu mbariki Baba Askofu Bagonza
anatafuta kuhalalisha kukimbia nje kama mkimbizi gia ya kutunga hiyo wazungu jiandaeni kumlisha huyo askofu ambaye kachokwa kwenye dayosisi yake hafanyi kazi za dayosisi kutwa siasaMmmhhh
Ben Saa8, TAL waliripotiAripoti hili suala polisi, nina imani vyombo vyetu vya usalama vitalishughulikia kwa haraka
Anae mlinzi mungu sasa anaogopa nini?Hii ndio Taarifa aliyoisambaza mitandaoni siku ya leo , kwamba kuna watu wabaya wamefika Karagwe kwa lengo la kummaliza , bali amejiapiza kwamba hatokimbia na anasubiri watekeleze Unyama wao .
Binafsi siwezi kupuuza taarifa hii ya kiharamia kutokana na ukweli kwamba sasa tuko kwenye Tanzania mpya ambayo wote waliotoa taarifa za kuwindwa hawakulindwa hadi wakaumia ama kupotea , Lissu na Ben Saa Nane ni mifano halisi , mpaka leo Polisi hawana maelezo yaliyonyooka zaidi ya kumung'unya maneno tu .
Mungu mbariki Baba Askofu Bagonza
Tuonyeshe wapi walilipoti hao uliowataja?Police Hawa Hawa au wengine.Hata Lisu,ben waliriport polisi
Eti nchi ya kijamaa Yani nyie watu mnamawazo ya kizinjanthropus daaah.
Hakuna mtu anaweza kiwa na shida na bagonza, hasa kwa lipi?Hata Hitler alikuwa mnyama ila sio kwa viongozi wa dini. Hii ni too much. Ila kama kuna mpango kama huu, waache mara moja.
Matokeo yake ni magumu kuyafikiria, itakuwa na madhara makubwa sana
Mbona Ben alijua, Lissu pia alijua na wote hao waliripoti polisi?Ninavyojua Watu wakikuamulia hasa Kukumaliza huwezi kamwe kujua na hata wa karibu yako hakuna ambaye atajua. Sasa huyu Askofu anatuboa!
Waliliport vituo gani vya polisi?Ben Saa8, TAL waliripoti
Siku yakikukuta wewe utasemaje?. Wewe ni zaidi ya Farao au Goliath?Huyo bagonza naona ugonjwa umeanza kupanda kichwani sasa.
Wamefika karagwe siawakamate.
Duh!!Huyo bagonza naona ugonjwa umeanza kupanda kichwani sasa.
Wamefika karagwe siawakamate.