Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Huwezi battle na hiki kichwa ingiza karoti kwenye puru ulale.We chizi tu huna lolote....!!!
Ndo maana ukajiita BLACK NIGHT yaani GIZA NENE....!!! Kama una Jina Kama Hilo ni saa ngapi UTAIONA NURU WE BWEGE.....Endelea kukaa gizani....shenxx type!
"Aliyeteuwa hakuomboleza.
Aliyeteuliwa hataomboleza.
Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado
Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku"
Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu.
Naungana na Baba Askofu!
Avue majoho october apande jukwaani asijifiche na kivuli cha kanisa!"Aliyeteuwa hakuomboleza.
Aliyeteuliwa hataomboleza.
Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado
Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku"
Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu.
Naungana na Baba Askofu!
Huwezi battle na hiki kichwa ingiza karoti kwenye puru ulale.
Najua Mlikuwa hamtegemei kama Mwigulu angerudi kuwa Waziri kutokana na kuwavuluga kwelikweli kwenye kiherehere cha kumtaka Rais wetu afanye eti anayoona DJ Mbowe na usharobaro wake.Very Inhuman
Rubbish and Non-sense!!!Najua Mlikuwa hamtegemei kama Mwigulu angerudi kuwa Waziri kutokana na kuwavuluga kwelikweli kwenye kiherehere cha kumtaka Rais wetu afanye eti anayoona DJ Mbowe na usharobaro wake.
Mnaopiga kelele hata ukifa leo utakao waacha wataendelea na Majukumu uliyoyaacha. Ndiyo maana unatakiwa kwa muda uliopo na nafasi uliyopo jitahidi kuacha alama nzuri ya kukumbukwa. Siyo hii ya Mbowe ya kujimilikisha Ruzuku 😀😀😀😀😀😀😀
Wanakulaga viapo ama kande za bure at donors and taxpayers expense?Marehemu ni former Intel...States zina Mambo mengi Sana, ndio maana wateuliwa wanakulaga viapo.
Ni kama vile walisubiri kwa muda mrefe Dr Mahiga afe wachukue nafasi yao. Yaani kama vile alitia kauzibe fulani hivi. Maana hii kasi si ya nchi hii"Aliyeteuwa hakuomboleza.
Aliyeteuliwa hataomboleza.
Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado
Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku"
Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu.
Naungana na Baba Askofu!
Inaonekana kuna mamlaka mbili pale juu. Kama moa ingechelewa nyengine ingewahi. HeheeeUtadhani kuna mtu wanashindana kwa hiyo alikuwa anaharakisha asije kuwahiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Siangeteua hata walau siku ya jumatatu at Jumanne lakini haraka ya nini..!!!Ile ni ofisi ya umma inahitaji mtu muda wote,Naibu Waziri kuna mambo hawezi kufanya. Hivyo naona ni sahihi JPM alivyofanya,ila kwasababu kuna watu huwa wana mawazo hasi siku zote lazima wataona shida.
macson
Waziri sio mtendaji ktk wizara yeye ni kiongozi tu na mtoa dira. Mtendaji ni katibu mkuu. Sasa rafiki mtu kazikwa jana tu hata kaburini hajafika.Ile ni ofisi ya umma inahitaji mtu muda wote,Naibu Waziri kuna mambo hawezi kufanya. Hivyo naona ni sahihi JPM alivyofanya,ila kwasababu kuna watu huwa wana mawazo hasi siku zote lazima wataona shida.
macson
He does'nt care other peoples' emotionsSiangeteua hata walau siku ya jumatatu at Jumanne lakini haraka ya nini..!!!
Wanaishiaga kusema Marehemu alikuwa Mwanadiplomasia mbobezi. Mchapa kazi, mzalendo, mwenye kupenda nchi yake lakini kwenye kumuenzi na kuomboleza wanafanya haya. Heheee. Hii ni dhihaka kwa marehemuJpm ni mtu insensitive, angempa japo heshima marehemu Mahiga, awape hata ndugu zake muda kidogo wa kuomboleza
Ile ni ofisi ya umma inahitaji mtu muda wote,Naibu Waziri kuna mambo hawezi kufanya. Hivyo naona ni sahihi JPM alivyofanya,ila kwasababu kuna watu huwa wana mawazo hasi siku zote lazima wataona shida.
macson
Hukuwahi kumpenda Mwigulu.... kula sumuMtu yeyote muungwana hawezi kufanya kitendo kama hiki! Mila zetu haziko hivyo. ngoja basi azikwe, zipite hata siku tatu!
Msinge mpiga risasi na kumpora ubunge.Lissu is just a failure in everything