Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aendelee kubip atapigiwa soon kisha akaandike utombolo wake huko atapelekwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] Katika watu wanaumia katika haya matokeo ni huyu Askofu wangu! Maana yeye alishajichagulia upande toka siku nyingi sana.
Watanzania tumepatikana safari hii, sijui Jakaya anajisikiaje, Mkapa ameshaondoka haya yanayotokea hata hajui pengine angekuwepo angesema neno.Kuna haja ya kupima akili za watu kabla ya kuwapa madaraka makubwa hapa nchini.
Na kweli kwa chama kipya km ccm lazima naendeleo yaje haraka.Siyo km vile vyama viko madarakani miaka 50 lkn hamna maendeleo yyte.Hawa ndio wawakilishi waliochaguliwa na wananchi, wananchi wanaipenda sana CCM, sasa nchi yetu inaenda kuwa kama Ulaya
SHEREHE za muda mfupi,kinachokuja ni kilio na kusaga meno.Weka akiba ya maneno.Maoni yake tunayaheshimu. Ndo democrasia. Ila ajue tupo tulio amini, tuliofurahi na tunasherehekea.
Tuone hayo maendeleo ya kutishaNa kweli kwa chama kipya km ccm lazima naendeleo yaje haraka.Siyo km vile vyama viko madarakani miaka 50 lkn hamna maendeleo yyte.
Ndivyo mlivyoambiwa na huyo mbelgiji msubiri marekani na huyo beberu lake Amsterdam watakuja kuwapa hi nchi nyie Wana saccos.Inashangaza!
tumetulia tulii
tunawasubiri Marekani waje watuamulie watusaidie kupinga matokeo why
Kupatwa kwa saccos, subirini Amsterdam anaenda the Hague kumpa nchi Lissu.Kupatwa kwa Tanzania.
Mkuu huu utumbo ulio nao akilini kwako utagharimu maisha ya kizazi chako cha kwanza mpaka cha nne, kweli kwa akili yako unaona ni sahihi kwa CCM kukaa bungeni peke yake..Sikia nikwambie, ni ujinga kusema mmeibiwa.
Na hata kama ni kuibiwa basi mnaibiwa kuanzia madiwani, ubunge mpaka Urais tena nchi nzima kila kata?
Na kama ni kweli mmeibiwa basi nyinyi ni wapuuzi, kwanini mnaibiwa kila uchaguzi ilhali mawakala wenu wapo na wanafatilia kila hatua ya upigaji kura?
Kama kweli kila mwaka mnaibiwa na mnakubali kushiriki uchaguzi wa wizi, viongozi wenu wanaakili timamu kwenye vichwa vyao, kukubali kushiriki kwenye uwizi?
Kama kweli mnaibiwa basi mnaibiwa kizembe sana hata mkipewa nchi rasilimali za nchi pamoja na hazina ya nchi itaibiwa kizembe sana kwakuwa hamko makini.
CHADEMA piteni kushoto mtupishe.
CCM tuna jambo letu la kuapishwa kwa Rais JPM.
Ndiyomaana lissu kapimwa kaonekana hafai mausi kampeni nzimaKuna haja ya kupima akili za watu kabla ya kuwapa madaraka makubwa hapa nchini.
WOTE HAWAAMINI...
Na Askofu Benson Bagonza, KKKT Dayosisi ya Karagwe
Waliopiga kura hawaamini,
Waliogoma kupiga kura hawaamini,
"Walioshinda" hawaamini,
"Walioshindwa" hawaamini,
Walioshuhudia hawaamini,
Waliohesabu kura hawaamini,
Wasimamizi hawaamini,
Waangalizi wa ndani na nje hawaamini,
Walinzi wa amani hawaamini,
Kwa nini lakini?
KWA sababu mwaka 2019 baada ya Uchaguzi wa serikali za mitaa,
"Walioshinda" hawakuwa na furaha,
"Walioshindwa" hawakuwa na furaha,
Waliopiga kura, ambao hawakupiga kura, waliohesabu, waliotangaza na waliosikia, WOTE hawakuwa na furaha. FURAHA alipotea, hajarudi. Sasa na IMANI ametoweka.
Usinibishie kwa sababu ubishi ni hulka ya watu waliopoteza furaha na Imani.
Nani anafuata kuwafuata FURAHA na IMANI?
Ni bora wakae pekeyao maana wenzao walidai Bungeni kuna Corona.Mkuu huu utumbo ulio nao akilini kwako utagharimu maisha ya kizazi chako cha kwanza mpaka cha nne, kweli kwa akili yako unaona ni sahihi kwa CCM kukaa bungeni peke yake..