milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Ngoja kwanza isije kuwa uongo.
Mhh! Hii ni hatari. Gari nyang'a nyang'a!!Kuna taarita ambayo sio nzuri.
Kuna ajali imetokea Barabara kuu ya Mwanga kwenda Same.
Taarifa zaidi kukufikia mapema
Hiyo ya Arusha sioni shida yake sana..Mhh! Hii ni hatari. Gari nyang'a nyang'a!!
Serikali tunaomba mzitanue barabara kuu za Dar Tunduma, Dar Arusha, Dar Dodoma, nk. Kiukweli ni nyembamba, halafu zimetumika kwa muda mrefu sasa.