Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anavaa barakashiaHivi Yesu naye alikuwa anavaaga kama hizi kofia za maaskofu?
Sijui ni lori aina gani, lakini siwezi kushangaa kama ni FUSO.Mhh! Hii ni hatari. Gari nyang'a nyang'a!!
Serikali tunaomba mzitanue barabara kuu za Dar Tunduma, Dar Arusha, Dar Dodoma, nk. Kiukweli ni nyembamba, halafu zimetumika kwa muda mrefu sasa.
Wao si wanapita na misafara mbele ulinzi, ajali haziwahusu hata kidogoSerikali kama ingekuwa serious sana , kwa sasa kutenganisha barabara za malori na gari za kawaida ni muhimu ...
Hizi ajali viongozi haziwahusu ndiyo maana hawahangaikiMhh! Hii ni hatari. Gari nyang'a nyang'a!!
Serikali tunaomba mzitanue barabara kuu za Dar Tunduma, Dar Arusha, Dar Dodoma, nk. Kiukweli ni nyembamba, halafu zimetumika kwa muda mrefu sasa.
Itungwe sheria haya malori yaendeshwe na watu wazima kuanzia miaka 40Sijui ni lori aina gani, lakini siwezi kushangaa kama ni FUSO.
Hayo magari hata kuyaona tu sitaki. Vijana wadogo wanayaendesha kamavile ni magari madogo.
Ni sawa Mkuu ..lakini bado Barabara zimechakaa sana kwa hizo za Dsm-Arusha,Dsm-Mwanza,Dsm-TundumaHiyo ya Arusha sioni shida yake sana..
Ukiwa mtu wa Safari sana utaona jinsi watu hasa Mabasi, magari binafsi na Serikali wanavyokimbia bila tahadhari.. mpaka unajiuliza huyu anafamilia kweli..?
Kuna sehemu za kumwaga moto na kuna sehemu za kunyata.. ktk 50 nenda na 50 walioweka wanamaana yao. Mstari upo straight usiovertake tulia..
Malori yalipaswa yasitembee zaidi ya 60KPHNi sawa Mkuu ..lakini bado Barabara zimechakaa sana kwa hizo za Dsm-Arusha,Dsm-Mwanza,Dsm-Tunduma
Barabara hizo kuu zilizotajwa ni death traps...hasa ile ya kipande cha Dsm-Moro ni pa hovvyo mno.
Ni umaskini na maamuzi tu wa Nchi kuwa na 4 ways.Kutapunguza sana zile zinazoepukika.
Mtu akitoa nzima nzima huchomoki hata kama ulikuwa unatembea na 20Kms.
Jioni Mkuu utakuwa unajua Fuso zinavyotililka kwenda Mjini Dsm...plus na ubovu wa Barabara.
Ni sahihi..ukikuta wahuni hawana mafuta hizo Tanker zinaenda mbaya..Malori yalipaswa yasitembee zaidi ya 60KPH
Serikali haiombwi kuwajibika. Serikali inalazimishwa kuwajibika na isipoweza, inaondolewa kwa kura na kuwekwa nyingine itayotekeleza. Nao ikishindwa, inawekwa nyingine. Bila ushindani wa aina hii basi hali ya nchi kimaendeleo inakuwa ni ya kusuasua kama ilivyo.Mhh! Hii ni hatari. Gari nyang'a nyang'a!!
Serikali tunaomba mzitanue barabara kuu za Dar Tunduma, Dar Arusha, Dar Dodoma, nk. Kiukweli ni nyembamba, halafu zimetumika kwa muda mrefu sasa.
Kutotaka kwake kuongelea mambo ya kijinga na ufisadi wa serikali ndiko kumemwangamiza. Kla mtu atalipa kwa wakati na namna yake. Hata wewe kuna siku utalipa japo pengine hutaweza kujua.Askofu alikuwa hana dereva? Mungu anachukua watumishi wema, alikuwa hataki kuchanganya siasa na dini kama Shoo na Kitima wa Chadema
Achana na hizo kofia ambazo hata wewe waweza kujishonea.Hivi Yesu naye alikuwa anavaaga kama hizi kofia za maaskofu?
Umeongea ushuziKati ya watu ambao nikiwa napita zangu nikaona wamepata ajali na mimi nawapita na kuwaacha wafe ni askari jeshi la polisi na wanajeshi wote , madereva wa magari ya serikali na madereva wa mabasi hao nita waacha wafe tuu kwakweli