TANZIA Askofu Chedieli Elinaza Sendoro, KKKT Dayosisi ya Mwanga amefariki kwa ajali

TANZIA Askofu Chedieli Elinaza Sendoro, KKKT Dayosisi ya Mwanga amefariki kwa ajali

Hii gari imefinyangwa ama dah kafa na maumivu makali sanaa rip
 
 
Kuna taarita ambayo sio nzuri.

Kuna ajali imetokea Barabara kuu ya Mwanga kwenda Same.

Taarifa zaidi kukufikia mapema

=====


Askofu wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Chediel Sendoro amefariki dunia usiku huu, Septemba 9, 2024 baada ya gari alilokuwa akiliendesha kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Kisangiro wilayani Mwanga.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

PIA SOMA
- Rais Samia atoa salamu za rambirambi kufuatia Kifo cha Askofu wa KKKT Dayosisi ya Mwanga


Chanzo: Gold FM
Kwanini Maaskofu hawapewi madereva wa kuwaendesha kama ilivyo kwa viongozi wengine
 
Kwanini Maaskofu hawapewi madereva wa kuwaendesha kama ilivyo kwa viongozi wengine
Kuna wengine wanavuta sigara shoo, Kuna wengine wanaonja pombe kidogo. Madereva watatoa siri
 
Back
Top Bottom