Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walijua wao hawafiHawaongelei misiba ya watanzania hawa maaskofu. Na Wala hawaikosoi serikali kama mzee wa upako. Acha wafe tu.
Kati ya watu ambao nikiwa napita zangu nikaona wamepata ajali na mimi nawapita na kuwaacha wafe ni askari jeshi la polisi na wanajeshi wote , madereva wa magari ya serikali na madereva wa mabasi hao nita waacha wafe tuu kwakweliHiyo ya Arusha sioni shida yake sana..
Ukiwa mtu wa Safari sana utaona jinsi watu hasa Mabasi, magari binafsi na Serikali wanavyokimbia bila tahadhari.. mpaka unajiuliza huyu anafamilia kweli..?
Kuna sehemu za kumwaga moto na kuna sehemu za kunyata.. ktk 50 nenda na 50 walioweka wanamaana yao. Mstari upo straight usiovertake tulia..
Igawa Tunduma ni nyembamba na imechakaa sanaMhh! Hii ni hatari. Gari nyang'a nyang'a!!
Serikali tunaomba mzitanue barabara kuu za Dar Tunduma, Dar Arusha, Dar Dodoma, nk. Kiukweli ni nyembamba, halafu zimetumika kwa muda mrefu sasa.
Askofu Elinaza Sendoro nafikiri yupo ila uzee utakuwa mwingi. Muda mrefu baada ya kustaafu amekuwa msharika wa Mbezi beach LutheranHivi babake yupo au Alisha fariki!?
swali kingine Askofu alikuwa anaendesha mwenyewe?Duuh alikuwa amelala?
Sasa na wao si wanakuacha pia.unaongea km vile we ni Mungu unajua nani apate ajali lini.Kati ya watu ambao nikiwa napita zangu nikaona wamepata ajali na mimi nawapita na kuwaacha wafe ni askari jeshi la polisi na wanajeshi wote , madereva wa magari ya serikali na madereva wa mabasi hao nita waacha wafe tuu kwakweli
Pole Kwa wafiwa.R.I.P bwana Askofu mwendo umeumaliza.Kuna taarita ambayo sio nzuri.
Kuna ajali imetokea Barabara kuu ya Mwanga kwenda Same.
Taarifa zaidi kukufikia mapema
=====
Askofu wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Chediel Sendoro amefariki dunia usiku huu, Septemba 9, 2024 baada ya gari alilokuwa akiliendesha kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Kisangiro wilayani Mwanga.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
PIA SOMA
- Rais Samia atoa salamu za rambirambi kufuatia Kifo cha Askofu wa KKKT Dayosisi ya Mwanga
Chanzo: Gold FM
Kuna taarita ambayo sio nzuri.