TANZIA Askofu Chedieli Elinaza Sendoro, KKKT Dayosisi ya Mwanga amefariki kwa ajali

Hawaongelei misiba ya watanzania hawa maaskofu. Na Wala hawaikosoi serikali kama mzee wa upako. Acha wafe tu.
 
Habari hii ,ikufikie popote ulipo!
 
Attachments

  • IMG-20240909-WA0058.jpg
    65.1 KB · Views: 5
Kati ya watu ambao nikiwa napita zangu nikaona wamepata ajali na mimi nawapita na kuwaacha wafe ni askari jeshi la polisi na wanajeshi wote , madereva wa magari ya serikali na madereva wa mabasi hao nita waacha wafe tuu kwakweli
 
Mhh! Hii ni hatari. Gari nyang'a nyang'a!!

Serikali tunaomba mzitanue barabara kuu za Dar Tunduma, Dar Arusha, Dar Dodoma, nk. Kiukweli ni nyembamba, halafu zimetumika kwa muda mrefu sasa.
Igawa Tunduma ni nyembamba na imechakaa sana
 
Kati ya watu ambao nikiwa napita zangu nikaona wamepata ajali na mimi nawapita na kuwaacha wafe ni askari jeshi la polisi na wanajeshi wote , madereva wa magari ya serikali na madereva wa mabasi hao nita waacha wafe tuu kwakweli
Sasa na wao si wanakuacha pia.unaongea km vile we ni Mungu unajua nani apate ajali lini.
Ajali inaweza kukukuta hata wewe dakika yoyote.
 
Pole Kwa wafiwa.R.I.P bwana Askofu mwendo umeumaliza.

Kwa Sasa mtu Ukiwa unasafiri unakuwa na hofu sana hususani usafiri wa Umma.
 
Hiyo gari imechakaa haswa, kutoka majeruhi hapo ungekuwa muujiza.

Apumzike kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…