TANZIA Askofu Chedieli Elinaza Sendoro, KKKT Dayosisi ya Mwanga amefariki kwa ajali

Mhh! Hii ni hatari. Gari nyang'a nyang'a!!

Serikali tunaomba mzitanue barabara kuu za Dar Tunduma, Dar Arusha, Dar Dodoma, nk. Kiukweli ni nyembamba, halafu zimetumika kwa muda mrefu sasa.
Sijui ni lori aina gani, lakini siwezi kushangaa kama ni FUSO.

Hayo magari hata kuyaona tu sitaki. Vijana wadogo wanayaendesha kamavile ni magari madogo.
 
Ni sawa Mkuu ..lakini bado Barabara zimechakaa sana kwa hizo za Dsm-Arusha,Dsm-Mwanza,Dsm-Tunduma


Barabara hizo kuu zilizotajwa ni death traps...hasa ile ya kipande cha Dsm-Moro ni pa hovvyo mno.

Ni umaskini na maamuzi tu wa Nchi kuwa na 4 ways.Kutapunguza sana zile zinazoepukika.

Mtu akitoa nzima nzima huchomoki hata kama ulikuwa unatembea na 20Kms.

Jioni Mkuu utakuwa unajua Fuso zinavyotililka kwenda Mjini Dsm...plus na ubovu wa Barabara.
 
Malori yalipaswa yasitembee zaidi ya 60KPH
 
Mhh! Hii ni hatari. Gari nyang'a nyang'a!!

Serikali tunaomba mzitanue barabara kuu za Dar Tunduma, Dar Arusha, Dar Dodoma, nk. Kiukweli ni nyembamba, halafu zimetumika kwa muda mrefu sasa.
Serikali haiombwi kuwajibika. Serikali inalazimishwa kuwajibika na isipoweza, inaondolewa kwa kura na kuwekwa nyingine itayotekeleza. Nao ikishindwa, inawekwa nyingine. Bila ushindani wa aina hii basi hali ya nchi kimaendeleo inakuwa ni ya kusuasua kama ilivyo.
 
Askofu alikuwa hana dereva? Mungu anachukua watumishi wema, alikuwa hataki kuchanganya siasa na dini kama Shoo na Kitima wa Chadema
Kutotaka kwake kuongelea mambo ya kijinga na ufisadi wa serikali ndiko kumemwangamiza. Kla mtu atalipa kwa wakati na namna yake. Hata wewe kuna siku utalipa japo pengine hutaweza kujua.
 
Hivi Yesu naye alikuwa anavaaga kama hizi kofia za maaskofu?
Achana na hizo kofia ambazo hata wewe waweza kujishonea.

Yesu alivaa kanzu ya ajabu! Haikuwa na pindo wala mshono wowote. Hadi wale waliomsulubisha wakaamua kupiga kura kanzu ile iwe ya nani sio mchezo. Ajabu zaidi nabii alishatabiri tukio hilo la kura hundreds of years before!
 
Kati ya watu ambao nikiwa napita zangu nikaona wamepata ajali na mimi nawapita na kuwaacha wafe ni askari jeshi la polisi na wanajeshi wote , madereva wa magari ya serikali na madereva wa mabasi hao nita waacha wafe tuu kwakweli
Umeongea ushuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…