TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

Apumzike kwa amani Desmond Tutu.

Kwa hakika aliyatendea haki maisha yake kwa kuupigania vilivyo utu wa mtu mweusi:

IMG_20211226_103449_257.jpg


A dedicated selfless individual.
 
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Rais wa Africa Kusini , Ramaphosa .

Amefariki leo tarehe 26/12/2021

Tunakushukuru Askofu Tutu kwa kutuachia Masalia yako Mwamakula , kazi ataiendeleza .
😁😁😁😂😂😂...eti Mwamakula😁😁😁😁😆😆😆😆😆
 
Lakini aliunga mkono ushoga na ndoa za jinsia moja,
Shida ni ukiamua kua mtetezi wa haki za binadamu ni utatakiwa kutetea na haki za first generation ambazo ndiyo zinacover maswala ya ndoa za jinsia moja na ushoga.
 
Wanaomkubali Desmond Tutu hawamkubali kama Askofu bali harakati zake za kupinga ubanguzi wa rangi, kamatia hapo hapo hayo mengine utajipoteza bure tu.
Nimekusoma.
Ila kwa upumbavu wa Wazulu makaburu walikuwa sahihi,hii Jamii ni primitives kabisa.
 
Back
Top Bottom