TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

Shida ni ukiamua kua mtetezi wa haki za binadamu ni utatakiwa kutetea na haki za first generation ambazo ndiyo zinacover maswala ya ndoa za jinsia moja na ushoga.
So anapingana na haki ya maadili ya imani yake.
Ila kwa sababu ni muanglikan sio ajabu.
 
Mashoga wamepata pigo Afrika! Death of Desmond tutu.
000_ARP3029365.jpg
 
Desmond Mpilo Tutu ni Askofu mkuu wa Kanisa Anglikana nchini Afrika Kusini. Ilivyofika mwaka wa 1984 alipokea Tuzo ya Nobel ya Amani.

hata kumbukwa kwa mambo mengi kama kuhamasisha amani na mambo mengi.View attachment 2057935

Archbishop Desmond Tutu, Nobel Peace Prize laureate and veteran of South Africa’s struggle against white minority rule, has died aged 90.

“The passing of Archbishop Emeritus Desmond Tutu is another chapter of bereavement in our nation’s farewell to a generation of outstanding South Africans who have bequeathed us a liberated South Africa,” President Cyril Ramaphosa said on Sunday.
Pamoja na kupigania haki za mashoga na kibaraka wa wazungu
 
Archbishop Desmond Tutu alikuwa mstari wa mbele sana kupinga ubaguzi wa rangi na uvunjaji wa haki.

Wakati Nelson Mandela kafungwa jela Tutu alikuwa anapinga sana ubaguzi wa rangi.

Wakati sisi tunakua, na watu wa ANC viongozi wengi wamefungwa, tulikuwa tunamsikia sana kwenye habari akipinga uvunjaji wa haki.

Zaidi, Archbishop Tutu alikuwa mtu ambaye anajua kujichanganya na watu, mtu anayejua kucheka kicheko cha kweli hata pale ambapo katika maisha haya yeye na watu wake wameteswa sana.

Amenifundisha kuwa na furaha na kupenda watu hata pale ambapo naona sijafanyiwa haki. Hili ni somo kubwa sana, si dogo.

Hebu muangalie hapa anavyocheka na muandishi wa habari mpaka muhoji anakuwa kama mhojiwa.

Ujui kitu
Wewe unajuwa nini? Ungekuwa unajuwa japo robo tu ungejuwa Mandela siyo Mzulu wala Bishop Desmond Tutu siyo Mzulu pia.

Yani nyinyi muache kupambana na mafisadi wa ccm muwende kwenye nchi yao kufanya vibaruwa kwa ujira mdogo halafu unategemea wawachekee tu?

Watawashaya sana Makwerekwere nyinyi Fuseki.
 
Huyu mtu alikuwa kibaraka wa wazungu na mwanaharakati wa haki za mashoga! Rip guy activist
 
Desmond Mpilo Tutu ni Askofu mkuu wa Kanisa Anglikana nchini Afrika Kusini. Ilivyofika mwaka wa 1984 alipokea Tuzo ya Nobel ya Amani.

hata kumbukwa kwa mambo mengi kama kuhamasisha amani na mambo mengi.View attachment 2057935

Archbishop Desmond Tutu, Nobel Peace Prize laureate and veteran of South Africa’s struggle against white minority rule, has died aged 90.

“The passing of Archbishop Emeritus Desmond Tutu is another chapter of bereavement in our nation’s farewell to a generation of outstanding South Africans who have bequeathed us a liberated South Africa,” President Cyril Ramaphosa said on Sunday.
Apunzike kwa Amani Baba Askofu Mkuu
 
Back
Top Bottom