TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

اِنَّ الَّذِيۡنَ كَفَرُوۡا وَمَاتُوۡا وَهُمۡ كُفَّارٌ اُولٰٓٮِٕكَ عَلَيۡهِمۡ لَعۡنَةُ اللّٰهِ وَالۡمَلٰٓٮِٕكَةِ وَالنَّاسِ اَجۡمَعِيۡنَۙ‏

Hakika walio kufuru na wakafa hali ni makafiri, hao iko juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote.

خٰلِدِيۡنَ فِيۡهَا ۚ لَا يُخَفَّفُ عَنۡهُمُ الۡعَذَابُ وَلَا هُمۡ يُنۡظَرُوۡنَ

Watadumu humo. Hawata-punguziwa adhabu wala hawatapewa muda wa kupumzika.
 
Makafir ni kina nani?
 
Pole sana . Hawa ndiyo walikuwa mashujaa wa kweli Africa.
Siyo hawa wachumia tumbo wa kibongo wanaoona serikali zikinyanyasa watu wao wakiwa kimya.

Hawa kina Tundu hawapo kimya wanaongea kishujaa kupitia BBC CNN Al Jazeera
Zama hazifanani
 
@ mama D Hapa anaongelewa kiongozi wa dini. Wewe unatuletea habari ya Lissu kisa una allergy naye !!.

Huko kwa mama hata hoja huwa hamna?!
 
Wa dini wanaoambiwa hawafanyi kitu mbona haohao wanapongezwa kwa harakati? Au wote wanatakiwa kufanana?
 
Bishop Tutu hakuwa mchumia tumbo wakati ubaguzi wa rangi. Leo tuna kina Pengo & Alhadi Salum ktk ya ubaguzi wa kisiasa. Wanakuwa na msaada gani zaidi ya kujikomba kwa watawala ?!
 
Hao uliowataja unawaona hawana msaada kwako ila wana msaada kwa wengine kama wewe na wapo wenye msaada kwako lakini hujawataja na wala hujauona umuhimu sababu hao uliotaka wawe na msaada kwako hawajakuwa.

Ubinadamu kazi!

Ndio maana maandiko yakatenganisha majukumu ya wafalme/watawala na manabii/waonaji/mitume.
 
U may be right. Lakini kiongozi wa dini uishi kwa mfano . Tutu aliishi kwa mfano. Je hawa wa sasa waliogeuka watafuta vyeo kwenye majukwaa ya kisiasa ?!Tunachosema hawa wa kibongo ni wachumia tumbo na wanafiki. Leo kwa mama Samia unawasikia baadhi kwa Maghufuli walinywea pamoja na watu kupotezwa
 
Back
Top Bottom