Zitto ndio hujifanya yuko neutral
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Huyu mzee atakua alikua anawasema ACT wazalendo ndio hujifanya wapo neutral
Sasa kama wao ni wavivu wao ni wizi na ulevi,hawataki kazi.awachagui wa kuuwa.Shaka zulu ndie aliyepandikiza roho ya ukatili kwa jamii ile.Wewe unajuwa nini? Ungekuwa unajuwa japo robo tu ungejuwa Mandela siyo Mzulu wala Bishop Desmond Tutu siyo Mzulu pia.
Yani nyinyi muache kupambana na mafisadi wa ccm muwende kwenye nchi yao kufanya vibaruwa kwa ujira mdogo halafu unategemea wawachekee tu?
Watawashaya sana Makwerekwere nyinyi Fuseki.
Mtu alithubutu kukosoa Wakoloni Hadi wakaufyata, Leo Mtu anashindwa kukosoa udhalimu wa waafrika wenzake huku ana kofia ya Uchungaji kichwani?Pole sana . Hawa ndiyo walikuwa mashujaa wa kweli Africa.
Siyo hawa wachumia tumbo wa kibongo wanaoona serikali zikinyanyasa watu wao wakiwa kimya.
Wewe Una mlengo gani?Nilifikiri alishakufa kitambo kumbe bado alikuwa hai, alikuwa na mlengo gani kuhusu ushoga?
Haya Magereza ya Tanzania wamejaa Wasouth Africa?Sasa kama wao ni wavivu wao ni wizi na ulevi,hawataki kazi.awachagui wa kuuwa.Shaka zulu ndie aliyepandikiza roho ya ukatili kwa jamii ile.
Kaburu ndie kiboko yao.Mtu primitives yafaa uwe primitives zaidi yake ndo mtakwenda SAwa,wale bila bullets hawaendi.
Huyu si ndo alikuwa mtetezi wa ushoga na mashoga??[emoji57]Rais Ramaphosa amethibitisha kifo cha mshindi wa Nobel na miongoni mwa watu muhimu kumaliza ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu katika umri wa miaka 90.
Tutu aligundulika kuwa na saratani ya kibofu mwishoni mwa miaka 1990 na amelazwa mara kadhaa kwa maradhi yanayohusiana na matibu ya saratani hiyo.
=========
View attachment 2057934
South Africa's Archbishop Desmond Tutu, one of the leaders of the anti-apartheid movement, has died at the age of 90, the President's Office has said.
Desmond Tutu: Archbishop and anti-apartheid veteran dies aged 90
He was an outspoken critic of the country's previous brutal system of oppression against the country's Black majority.
He was awarded the Nobel Peace Prize in 1984 for his campaign of non-violent opposition to South Africa's white minority rule.
"The passing of Archbishop Emeritus Desmond Tutu is another chapter of bereavement in our nation's farewell to a generation of outstanding South Africans who have bequeathed us a liberated South Africa," President Cyril Ramaphosa said.
A statement on behalf of the Tutu family described him as a man who "turned his own misfortune into a teaching opportunity to raise awareness and reduce the suffering of others."
It said: "He wanted the world to know that he had prostate cancer, and that the sooner it is detected the better the chance of managing it."
The statement added: "Ultimately, at the age of 90, he died peacefully at the Oasis Frail Care Centre in Cape Town this morning.
View attachment 2057952
Source: skynews
==========
View attachment 2057976
Huwezi fanya ujira Mdogo home tunafanya ugenini.Dunia ni kijiji so nasi tuwatoe baruti walipojazana huko kwenye migodi yetu kama labour.Haya Magereza ya Tanzania wamejaa Wasouth Africa?
Kinondoni, Sinza, Tabata mabar yanayokesha wanakunywa wazulu?
Umezaliwa South Africa tayari imejengwa kama ulaya ni nyinyi makwerekwere ndio mlioijenga?
Endeleeni tu kushobokea cheaper labour wataendelea kuwauwa mpaka akili ziwakae sawa.
Nyinyi hapa kwenu kazi ya ujira mdogo kwa muhindi hamtaki halafu ndio unataka wao wakubali kuswagwa kwenye nchi yao?
Hivi unadhani nani anafurahia kumzaa shoga ?!. Je akitokea kwenye ukoo wako utamfanya nini ili nawe usitende dhambi ?!.Lakini aliunga mkono ushoga na ndoa za jinsia moja,
Ulitaka asemee kila kitu?.Hakuna binadamu wa hivyo.kila mtu ana upande flani anaoweza kuusimamia kwahiyo ni jukumu la wengine kusemea mengine.Je wewe umesemea jambo gani kati ya madhila mengi yanayowakuta waafrika.Au unamshutumu tu Tutu.Mtu alithubutu kukosoa Wakoloni Hadi wakaufyata, Leo Mtu anashindwa kukosoa udhalimu wa waafrika wenzake huku ana kofia ya Uchungaji kichwani?
True hasa kwa Jamii yetu hata kushutumiwa tu ushoga achilia kuzaa inadisturb Jamii nzima hakuna apendae kuwa na ndugu shoga lakini kuwathamini ni kupromote ushoga.Hivi unadhani nani anafurahia kumzaa shoga ?!. Je akitokea kwenye ukoo wako utamfanya nini ili nawe usitende dhambi ?!.
Hakuna anaeunga mkono ushoga isipokuwa watu hawataki kujichukulia sheria mkononi . As if wewe pia huna dhambi. Kwa hiyo ukiona wanatetewa na viongozi wa imani. Tu ni ktk kutaka kuwa fair
Ushoga ni ulemavu kama ulemavu mwingine . Kama hayupo kwenye jamii yako, mshukuru Mungu . Lakini si ujanjanjaUna uhakika? Kama hawakuwa wachumia tumbo?Rip guy activist
Siumwelekeze"Hata kumbukwa" kwa mambo mengi....
Alloo hiki kiswahili chako mzee
Mkuu unataka uwaue ?!. Si utakuwa nawe umetenda dhambi Ile ile !!True hasa kwa Jamii yetu hata kushutumiwa tu ushoga achilia kuzaa inadisturb Jamii nzima hakuna apendae kuwa na ndugu shoga lakini kuwathamini ni kupromote ushoga.
Unashangaa nini ?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]...eti Mwamakula[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
HapanaMkuu unataka uwaue ?!. Si utakuwa nawe umetenda dhambi Ile ile !!