OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
alikuwa anatoa rushwa ili asamehewe kesi ya ufisadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshaalaniwa.Kwa hiyo Lugola kalaaniwa!
Kwa taarifa yako Lugola na marehemu mke wake ni walokoleKangi Lugola ni mpagani na laana ya mungu haimhusu!
Shida ya Mzee wangu Bagonza amejaa chuki, Chuki Imemjaa hata kwenye vitu vidogovidogo tu.
Absolutely correct Doctor.Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
___________
Kufuru haina kinga. Kwa Wakristo, dhambi isiyosameheka katika Agano Jipya ni kumkufuru Roho Mtakatifu. Na katika Agano la Kale ni ibada ya sanamu (idolatry). Amri ya kwanza aliyopewa Musa inasema, "Mimi ni Bwana Mungu wako, usiwe na miungu mingine" (Kutoka 20:3-6).
_
Kufuru haina kinga duniani wala mbinguni. Ghadhabu ya Mungu iko wazi katika vitabu vyake vyote.
Tuzitendee haki kumbukumbu zetu;
1. Mwaka 2005 mjinga mmoja alitumia uhuru wake vibaya huko Denmark. Akachora katuni yenye kumdhihaki Mtume Muhammad (S.A.W). Dunia nzima iliwaka moto.
2. Mwaka 2010 mpuuzi mwingine huko Marekani akachoma moto Quran tukufu. Hakuna jiwe lililosalia juu ya jiwe.
3. Mwaka 2012 huko Mbagala utoto ukavuka mipaka. Msahafu ukakojolewa. Amani yetu ilitoweka kwa muda. Majivu yakawa majivu.
4. Huko Sumbawanga, msimu wa uchaguzi kama huu, ulimi wa mmoja uliteleza. Akaufananisha UTATU mtakatifu na mafiga matatu ya chama chake. Hapakutosha. Mzee Pinda (mtu wa amani), ana cha kusimulia mpaka leo.
Mungu wetu hafananishwi. Mungu wetu halinganishwi. Mungu wetu hashindanishwi. Ni ibada ya sanamu kupenda kitu kingine kuliko unavyompenda Mungu wako. Ni ibada ya sanamu kuchukia kitu kingine kuliko unavyomchukia shetani. Ni ibada ya sanamu kumlinganisha Muumbaji na uumbaji wake.
Hatumtendei haki Mungu kumlinganisha na aliowaumba. Hatuwatendei haki wale tuwapendao kwa kuonesha kuwa tunawapenda kuliko tunavyompenda aliyewaumba.
Walinzi na waangalizi wa imani (viongozi wa dini), kama hatuwezi kukemea hili (la Lugola) basi angalau tuchukie na tuonekane kweli tumechukizwa.!
Nimesikiliza mchango wa Mhe. Kangi Lugola kwenye Bajeti Kuu ya Serikali 2020/21 inasikitisha na imekosa focus.
Mhe. Kangi Lugola hakupashwa awe Bungeni huyu Fisadi mkubwa na mlarushwa aliyebobea. Neno la Mungu linasema: AMRLAANIWA AMTUMAINIYE MWANADAMU! Sifa zote alizoimba na mapambio yote kwa Rais Magufuli kiasi cha kumfananisha na Bwana Yesu Kristo hakika ni kufuru kwa Mwenyezi Mungu na Kangi Lugola atavuna hichi alichopanda maana Mungu hadhihakiwi!
Msamaha wa Rais Magufuli kwa MAFISADI WA CCM ndani ya Jeshi la Magereza chini ya Adengenye na Kangi Lugola ndiko kumepelekea Lugola kumwona Magufuli Kama Mungu wake.....!
Kama unajua na kuaminini kuwa aliteswa na kufa kama base ya hoja yako( Nahisi umesoma kwenye Biblia ambalo ni jambo jema) basi endelea kuisoma na kuimani zaidi Biblia na usiache kusoma na kuamini kuwa Yesu alifufuka na ni Mungu. Ukipakosa mahali palipoandikwa hivyo niambie nikuelekeze.Yesu Ni binadamu kwa 100% sio mungu,MUNGU hawezi kufa.wala kuteswa
Kuna mtu kasema hii kauli angeisema kuhusu waasisi wa dini fulani kungekuwa kumewaka
Kwani maandishi Ni Nini? Si wameandika tu watuKama unajua na kuaminini kuwa aliteswa na kufa kama base ya hoja yako( Nahisi umesoma kwenye Biblia ambalo ni jambo jema) basi endelea kuisoma na kuimani zaidi Biblia na usiache kusoma na kuamini kuwa Yesu alifufuka na ni Mungu. Ukipakosa mahali palipoandikwa hivyo niambie nikuelekeze.
Kama ni mpangani inakuaje anamtaja YesuKangi Lugola ni mpagani na laana ya mungu haimhusu!
Askofu Bagonza ni kweli kabisa umefika wakati kwake kuvua majoho ya uaskofu na kupanda jukwaani.Bagonza anafikili anaweza kuchukua nafasi ya mungu? Hawezi ku finally hukumu ya mungu kwa binadamu hata siku moja, pia akumbuke kuna watu wanaitwa yesu hapa duniani kwa maana hiyo hao hawatasamehewa kwa vile wamejiita jina la yesu?
Pia lazima ajue mfano sio lazima iwe kitu halisi,
Ujuaji anaotaka kujifanya anao Bagonza unamuondolea hadhi ya kuwa Askofu.
Kuna wanasiasa wanasema uongo na anajuwa wanasema uongo na wengine ni waumini wake mbona hatujaona andiko kuwakemea ili waache uongo kwa kuwa vitabu vya dini vinasema usimsemee mtu uongo, pia uongo ni zaidi ya mchawi, sasa hilo halijui?
Mapenzi yake kisiasa hayamzuii kuacha uaskofu ili aje apambane kama mwanasiasa kwa kuwa yeye hatakuwa wa kwanza, kuna Dr slaa, kuna marehem rwakatale kuna msigwa na wengine wengi.
Yeye anashambulia upande wa CCM tu je huko Upinzani ni watakatifu?
Maaskofu wa hivi laana zao watazibeba wenyewe maana mungu anaiona mioyo yao inavyohangaika na maovu wanayowaza kika siku.
Bagonza ajitathimini.
Hatuwezi kunyamazia upuuzi wa wabunge kumfananisha mtu na Mungu kamwe hatuwez, hii ni kufuru ngoja tumwombe Mungu atajibu tuAnaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
___________
Kufuru haina kinga. Kwa Wakristo, dhambi isiyosameheka katika Agano Jipya ni kumkufuru Roho Mtakatifu. Na katika Agano la Kale ni ibada ya sanamu (idolatry). Amri ya kwanza aliyopewa Musa inasema, "Mimi ni Bwana Mungu wako, usiwe na miungu mingine" (Kutoka 20:3-6).
_
Kufuru haina kinga duniani wala mbinguni. Ghadhabu ya Mungu iko wazi katika vitabu vyake vyote.
Tuzitendee haki kumbukumbu zetu;
1. Mwaka 2005 mjinga mmoja alitumia uhuru wake vibaya huko Denmark. Akachora katuni yenye kumdhihaki Mtume Muhammad (S.A.W). Dunia nzima iliwaka moto.
2. Mwaka 2010 mpuuzi mwingine huko Marekani akachoma moto Quran tukufu. Hakuna jiwe lililosalia juu ya jiwe.
3. Mwaka 2012 huko Mbagala utoto ukavuka mipaka. Msahafu ukakojolewa. Amani yetu ilitoweka kwa muda. Majivu yakawa majivu.
4. Huko Sumbawanga, msimu wa uchaguzi kama huu, ulimi wa mmoja uliteleza. Akaufananisha UTATU mtakatifu na mafiga matatu ya chama chake. Hapakutosha. Mzee Pinda (mtu wa amani), ana cha kusimulia mpaka leo.
Mungu wetu hafananishwi. Mungu wetu halinganishwi. Mungu wetu hashindanishwi. Ni ibada ya sanamu kupenda kitu kingine kuliko unavyompenda Mungu wako. Ni ibada ya sanamu kuchukia kitu kingine kuliko unavyomchukia shetani. Ni ibada ya sanamu kumlinganisha Muumbaji na uumbaji wake.
Hatumtendei haki Mungu kumlinganisha na aliowaumba. Hatuwatendei haki wale tuwapendao kwa kuonesha kuwa tunawapenda kuliko tunavyompenda aliyewaumba.
Walinzi na waangalizi wa imani (viongozi wa dini), kama hatuwezi kukemea hili (la Lugola) basi angalau tuchukie na tuonekane kweli tumechukizwa.!
Siyo chuki, ni upendo na unazi alionao kwa CHADEMA! Yeye kwa mawazo yake anaona Chadema ndiyo inastahili kutukuzwa! Nina hofu siku CHADEMA ikifa (baada ya uchaguzi mwaka huu) Askofu anaweza akapata ugonjwa wa moyo.Shida ya Mzee wangu Bagonza amejaa chuki, Chuki Imemjaa hata kwenye vitu vidogovidogo tu.
Wewe mpuuzi. Imani kitu kingine, wewe unayepiga foleni kuabudu jiwe uko sawa? Ile si imani yako?Utatu mtakatifu ni mambo yaliyosukwa tu na wajanja! Kamwe huwezi kumgawa Mungu eti nafsi tatu!! Najibu swali! Alimlinganisha JPM na Yesu (nabii) kwa kuwa amejitoa mhanga kama Yesu alivyoteseka ili kuukomboa ulimwengu. Anaikomboa Tz kutoka mikononi mwa mafisadi. Ni hatari kwake ila amejitoa mhanga.