johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kiukweli baba askofu Dkt. Rashid Josephat Gwajima anastahili kuchaguliwa na kutuongoza wana Kawe.
Kama alivyosema Dkt. Kikwete kwamba CCM ni chama cha Dini zote, Makabila yote, Taaluma zote na watu wote
Niwaombe wanakawe tusifeli tena kama 2015 tumchague Gwajima, yule Halima Mdee 10 imemtosha.
Maendeleo hayana vyama!