pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Kama una akili timamu huwezi kumpa kura yako gwajima, lkn kama akili yako haiwezi kuwaza sawasawa unaweza kupotoka!Mtu huyo ni Gwajima!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una akili timamu huwezi kumpa kura yako gwajima, lkn kama akili yako haiwezi kuwaza sawasawa unaweza kupotoka!Mtu huyo ni Gwajima!
Dr Chidi?
Kiukweli baba askofu Dkt. Rashid Josephat Gwajima anastahili kuchaguliwa na kutuongoza wana Kawe.
Kama alivyosema Dkt. Kikwete kwamba CCM ni chama cha dini zote makabila yote, taaluma zote na watu wote
Niwaombe wanakawe tusifeli tena kama 2015 tumchague Gwajima, yule Halima Mdee 10 imemtosha.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani kuwa Dr ni lazima uwe na PhD bwashee?Kwanza uache kumpachika vyeo visivyo vyake.
Kwanza sio dkt... hajasoma mpaka phd.. hana publication yoyote.
Pili hilo jina rashid ni la kampeni tu. Si jina halisi.
Kiukweli baba askofu Dkt. Rashid Josephat Gwajima anastahili kuchaguliwa na kutuongoza wana Kawe.
Kama alivyosema Dkt. Kikwete kwamba CCM ni chama cha Dini zote, Makabila yote, Taaluma zote na watu wote
Niwaombe wanakawe tusifeli tena kama 2015 tumchague Gwajima, yule Halima Mdee 10 imemtosha.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa....... wewe siyo hamnazo!Ila wakati mwingine hawa wanasiasa (uchwara) wanakera sana.....yaani wanatuona wapiga kura hamnazo kabisa!
Umeona jinsi ccm mlivyo mazuzu?
Kiukweli baba askofu Dkt. Rashid Josephat Gwajima anastahili kuchaguliwa na kutuongoza wana Kawe.
Kama alivyosema Dkt. Kikwete kwamba CCM ni chama cha Dini zote, Makabila yote, Taaluma zote na watu wote
Niwaombe wanakawe tusifeli tena kama 2015 tumchague Gwajima, yule Halima Mdee 10 imemtosha.
Maendeleo hayana vyama!
Dr kikwete ana horonary doctoriate .... slaa ameisomea kabisa udaktari wa sheria za Kanisa ulio maarufu kama J.C.D. (Juris Canonic Doctor).Kwani kuwa Dr ni lazima uwe na PhD bwashee?
Dr Slaa ana PhD?
Dr Kikwete je?
Gwaji BoyAkiwa kwenye yale mambo yake=?
Huyo Gwajima hata Form Six hanaDr kikwete ana horonary doctoriate .... slaa ameisomea kabisa udaktari wa sheria za Kanisa ulio maarufu kama J.C.D. (Juris Canonic Doctor).
Upo kaka? Gwajima hata degree au masters hana. Huo u dr kaupata wapi?
Korea ya kusini!Dr kikwete ana horonary doctoriate .... slaa ameisomea kabisa udaktari wa sheria za Kanisa ulio maarufu kama J.C.D. (Juris Canonic Doctor).
Upo kaka? Gwajima hata degree au masters hana. Huo u dr kaupata wapi?
Gwajima alisoma na Tundu Lisu pale Ilboru!Huyo Gwajima hata Form Six hana
Hakunaha kitu kama hiyo. Huyo hajasoma kokote. Ni mjanja wa town tu.Korea ya kusini!