Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Huyu ni mjanja mjanja wa town tu. Hana publication zozote zile.Huyo Gwajima hata Form Six hana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mjanja mjanja wa town tu. Hana publication zozote zile.Huyo Gwajima hata Form Six hana
Hivi kwenye kampeni zake hajaahidi kufufua misukule kweli??
Kiukweli baba askofu Dkt. Rashid Josephat Gwajima anastahili kuchaguliwa na kutuongoza wana Kawe.
Kama alivyosema Dkt. Kikwete kwamba CCM ni chama cha Dini zote, Makabila yote, Taaluma zote na watu wote
Niwaombe wanakawe tusifeli tena kama 2015 tumchague Gwajima, yule Halima Mdee 10 imemtosha.
Maendeleo hayana vyama!
Atawamiliki wanawake wote wa KaweChidboy sio? Chidgwaji boy ni mbunge!!! Itakuwa ni habari ya kushangaza sana
Kiukweli baba askofu Dkt. Rashid Josephat Gwajima anastahili kuchaguliwa na kutuongoza wana Kawe.
Kama alivyosema Dkt. Kikwete kwamba CCM ni chama cha Dini zote, Makabila yote, Taaluma zote na watu wote
Niwaombe wanakawe tusifeli tena kama 2015 tumchague Gwajima, yule Halima Mdee 10 imemtosha.
Maendeleo hayana vyama!
Kiukweli baba askofu Dkt. Rashid Josephat Gwajima anastahili kuchaguliwa na kutuongoza wana Kawe.
Kama alivyosema Dkt. Kikwete kwamba CCM ni chama cha Dini zote, Makabila yote, Taaluma zote na watu wote
Niwaombe wanakawe tusifeli tena kama 2015 tumchague Gwajima, yule Halima Mdee 10 imemtosha.
Maendeleo hayana vyama!
Mkono wa Baunsa..... Jamaa tapeli kabisaKwa hio jamaa anabadilika kutokana na mazingira.
Madhabahuni=Josephat
Kwa kampeni=Rashid
Akiwa kwenye yale mambo yake=?
Ohh yes. Ninaishi Kawe na Gwajima lazima nimpe za uso, za chembe, za kwenye mapwido, Hadi mkono wa Baunsa ushindwe kufanya kaziWewe unaishi Kawe?
Kawe hashindi, labda akashinde msikitini alikotelekezwaKushinda atashinda ila asilete usanii.
Gwajima hauzikiGwajima hazuiliki!
Huko anaitwa gwajimfifiroKwa hio jamaa anabadilika kutokana na mazingira.
Madhabahuni=Josephat
Kwa kampeni=Rashid
Akiwa kwenye yale mambo yake=?
DuuuWakati yupo Chadema mlikuwa mnamwita askofu Mushi Gwajima!
Achana na Dr Silaa yule msomi hakunaga Padri nkumbaluKwani kuwa Dr ni lazima uwe na PhD bwashee?
Dr Slaa ana PhD?
Dr Kikwete je?