johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe unaishi Kawe?hana nafasi na wana Kawe Halima Mdee chaguo lao.
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Aisee, how dare you?.Gwajima mmoja, ni zaidi ya Saccos yenu yote pale ufipa. Kawe imetwaliwa mikononi mwenu na kupewa Jirani yenu Gwajima.Askofu tapeli, mzizi, mshirikina, lagai n.k
Hahahaaaa....... Siasa ni sayansi bwashee!Askofu Dr. Rashid Josephat Gwajima....teh teh teh π€£ π€£π€£..siasa hizi..
Amelikumbuka baada ya kubanwaHili jina Rashid mbona alikiwa halitumii hapo awali?
Karudi kwao. Kawaambia yeye ni mwenzao. Anaitwa RashidπHistoria ya udini inambana sana Gwajima alikuwa akiwananga sana waislamu tena sanaa
Kushinda atashinda ila asilete usanii.Amelikumbuka baada ya kubanwa
Labda ashinde na njaa.Kushinda atashinda ila asilete usanii.
Wewe unaishi Kawe?Wewe unaishi Kawe?
Ndio bwashee naishi maandazi road!Wewe unaishi Kawe?
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ