Uchaguzi 2020 Askofu Dkt. Rashid Josephat Gwajima anatosha Kawe ana vigezo vyote!

Muulize Makamba Sr, Cardinal Pengo na waislam wote, kwanza. Vigezo vyote vya kucheza sinema za X?
 
Tazama uongo bila aibu....mitano imemtosha
Maendeleo hayana vyama.
https://www.jamiiforums.com/data/video/2595/2595093-06f76a99b7563e0d95a1b065f58fb823.mp4
 
Wewe unaishi Kawe?
Mkuu yohanambatizaji pale juu ni kama kuna tying error! Umeandika "Dr Askofu Rashid Josephat Gwajima anafaa Kutuongoza Wana Kawe." Naomba edit isomeke Dr Askofu Rashida Josephat Gwajima anafaa Kutongoza Wana Kawe. Maana sifa hiyo anayo huyo Rashid!
 
Nileteeni Rashidiiiiiiiiiiiiiiii
Nileteeni Rashidiiiiiiiiiiiiiiii
Nileteeni Rashidiiiiiiiiiiiiiiii
Nileteeni Rashidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Your browser is not able to display this video.
 
Rashid Ndiyo Habari Kubwa
Ila Hawezi Kushinda
 
Awe Josee au Chiddy anabaki kuwa Gwajima yuleyule. Mtanzania na mwafrika halisi

Waarabu na wazungu wala vibaraka hawawezi kutugawa kwa kutumia dini
 
Siasa zinatia watu ujinga sana.katembea kwenye maji anataja hata jina la rashid.
 
Askofu Chidi hahahahhaa
Hata wanaochagua lazima wapatwe kizunguzungu
 
Reactions: R.K


Tapeli sasa anajiita muislamu! mbinafsi sana helikopta wakati watu wanasali nje!!
 
Kwanza uache kumpachika vyeo visivyo vyake.
Kwanza sio dkt... hajasoma mpaka phd.. hana publication yoyote.
Pili hilo jina rashid ni la kampeni tu. Si jina halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…