johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hakuna mahali amesema ccm mtarudi wapinzani kwaheri. Na angesema hivyo leo ungeona tanzania daima imeweka front page.Kabla ya kumuuliza Kiongozi wa Kidini mkubwa namna hii.
Mimi ngoja nikuulize, Je nisahihi mtu huyohuyo anayesema uchaguzi utakua huru nahaki, hapohapo aseme CCM watarudi na wapinzani kwa heri?. Yeye ndio mpiga kura? Au sabababu anajua Tume yake ya uchaguzi haitaruhusu ilo????
Nmekujibu Swali kwa Swali.
Huu ndo utopolo wenyewe, yeye anavyotukanaga watu ???Kweli mambo yanabadilika kwa kasi. Leo askofu anakemea watu kuambiwa wasitukane. Ye anataka lugha za matusi kwa hiyo.? Aingie tu kwenye siasa atukane.
Ni haki yake kuzungumzia uchaguzi kwa wakati huu, lakini si haki yake kuwadhibiti wagombea wenzake wakati wa uchaguzi, hilo ndilo askofu analohoji.Askofu Bagonza amesema inafikirisha pale mgombea urais mmoja anapowaambia wenzie uchaguzi utakuwa huru na wa haki, tena Mwenyekiti wa chama kishiriki anapowaambia wenzie hawatavumilia matusi na kejeli.
Namuuliza tu baba Askofu Bagonza, Je, alitaka Rais Magufuli akae kimya kabisa kwa sababu tu yeye ni mgombea urais na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Hakuna mahali amesema ccm mtarudi wapinzani kwaheri. Na angesema hivyo leo ungeona tanzania daima imeweka front page.
Wee mzee siyo lazima kila siku ujaze server kama huna la maana la kuandika. Kukaa kimya nako rukhsaAskofu Bagonza amesema inafikirisha pale mgombea urais mmoja anapowaambia wenzie uchaguzi utakuwa huru na wa haki, tena Mwenyekiti wa chama kishiriki anapowaambia wenzie hawatavumilia matusi na kejeli.
Namuuliza tu baba Askofu Bagonza, Je, alitaka Rais Magufuli akae kimya kabisa kwa sababu tu yeye ni mgombea urais na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Mmeambiwa mshindane kwa hoja,sio matusi yatayoleta vurugu. Sasa mna hoja gani ya kupambana na Ccm iliyo chini ya JPM?Ni haki yake kuzungumzia uchaguzi kwa wakati huu, lakini si haki yake kuwadhibiti wagombea wenzake wakati wa uchaguzi, hilo ndilo askofu analohoji.
Hana meno kwenye mwenendo wa uchaguzi, anasubiri maelekezo toka kwa mgombea mmoja ambaye ndiye aliyemteua.M/kiti wa tume ya uchaguzi hana sheria za uchaguzi? Au hatakuwepo?
Wakianza kutukanana kwenye kampeni unadhani itakuwaje.? Kuna watu wameanguka wakiwa chakariHuu ndo utopolo wenyewe, yeye anavyotukanaga watu ???
Au njaa ndo zinawasumbua?
Nikuambie wewe. Au ulisikia lakini hukuelewa. Ulikuwa unawazia negativity tu.Inawezekana kabisa, Ulikua unatizama kwa macho lkn cha kusikilizia umekikalia.
Kweli mambo yanabadilika kwa kasi. Leo askofu anakemea watu kuambiwa wasitukane. Ye anataka lugha za matusi kwa hiyo.? Aingie tu kwenye siasa atukane
Hivi Yesu anaweza shindana kwa hoja na Lissu,Zzk,Fam jukwaani?Mmeambiwa mshindane kwa hoja,sio matusi yatayoleta vurugu. Sasa mna hoja gani ya kupambana na Ccm iliyo chini ya JPM?
Mngeanza kwanza kumueleza ukweli mbowe.Tatizo linakuja kwavile hamjazoea kuambiwa ukweli mara mnapoambiwa ukweli mnaona kama vile mnatukanwa!!! Wakiwaambia kuwa Magufuli anavunja katiba kwa kuingilia uhuru wa BUNGE mtasema wamemtukana ili hali huo ndio ukweli ulio dhahili!!
Mgombea Lowasa alitukanwa sana na alikashifiwa sana pamoja na kudhahikiwa kwa maneno ya kila aina pia na malofa wakaingizwa.Mmeambiwa mshindane kwa hoja,sio matusi yatayoleta vurugu. Sasa mna hoja gani ya kupambana na Ccm iliyo chini ya JPM?