johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Askofu Bagonza amesema inafikirisha pale Mgombea Urais mmoja anapowaambia wenzie uchaguzi utakuwa Hru na wa Haki, tena Mwenyekiti wa Chama kishiriki anapowaambia wenzie hawatavumilia matusi na kejeli.
Namuuliza tu baba Askofu Bagonza, Je, alitaka Rais Magufuli akae kimya kabisa kwa sababu tu yeye ni mgombea urais na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Namuuliza tu baba Askofu Bagonza, Je, alitaka Rais Magufuli akae kimya kabisa kwa sababu tu yeye ni mgombea urais na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!