Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo: Kunyamaza wakati mwingine ni hekima

Mungu na akulinde kwa kusema iliyo kweli, Pengo amepofushwa , amestaafu ukadinali nadhani kastaafu na kazi ya Mungu, apewe rasmi kazi ya uzee wa CCM atuachie kanisa letu.
 
Aisee!,
Kweli kabisa kunyamaza wakat mwingine inaweza kuwa ni hekima. Tatizo ni kujua nani anapaswa kunyamaza na ni wakati gan wa kunyamaza. Kujiona ww uko sahihi sana kuliko mwingine nalo ni tatizo kubwa.

Kudhan kuwa mwenzako anakosea ila ww ndo uko sahihi ni tatizo kubwa zaid. Lakin pia kudhan ww mtu akiongea kitu usichokubaliana nacho basi hana hekima, ni tatizo kubwa sana.

Watumishi wa mungu wanapaswa kuwa na hekima zaid ya hizi wanazozionyesha kwenye jamii.

Msingi na mafundisho ya kanisa katoliki ni democrasia na uburu wa maon. Wakatoriki wanaamin kwenye Democrasia na uhuru wa kutoa maon. Wao wanaamin kwenye ubepari. Umagharib kwako ni kila kitu.

Na huwa hawaon shida kutoa maon yao. Ajabu inakuja pale kiongozi kutoka dheheb jingine anapoona kuwa kiongozi wa katolik alipaswa kuenenda namna yeye kiongozi wa dhehebu tofaut anavodhan.
Hii ni shida na ni ukosefu wa adabu na heshima mbele za mungu.

Watumishi wa mungu wanapaswa kumrudia mungu na kuenenda sawasawa na wito wao. Mambo ya kudhan madhehebu fulan yanapaswa kutenda na kunena kama wao wanavyoona sio sahihi. Democrasia haifundishi hivo. Huo sio uhuru wa kuongea. Sio uburu wa kiiman na wala sio uhuru wa kuabudu.
 
Kwanini huyu Askofu asiitishe mkutano na waandishi wa Habari aeme wazi kinachomkreketa kuliko kuendelea kuandika huko mitandaoni kama siyo kiongozi?
 
Najuta sana Maishani kwangu kupewa Kipaimara na Pengo
 
Askofu Munga amepoteza mwelekeo

sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa

Acha ubazazi na unafiki ewe mwanadamu usiye ijua kesho yako!
Mungu ambarki sana Askofu Dk.Steven Munga kwa kuongea mambo mazito na muhimu sana kwa ajili ya Taifa letu!
Huyu ni moja ya Viongozi na Watumishi wachache Tanzania kwa sasa wanao zungumza ukweli kuhsu Utawala wa JPM!
Nimebahatika kuona hotuba ya Pengo kwenye mkutano wa Makonda ni kweli aliongea KUPITILIZA kwa sifa za kipuuzi! Pengo alimsfia Makonda mpaka akamwambia ati MAKONDA NDIYE ANATARAJIWA KUWA MRITHI WA MAGUFULI! Kwangu hili lilinipa mshtuko mkubwa na sijui Pengo alilitoa wapi na kama CCM na Mwenyekiti wao Magufuli wanalijua hili? Nje ya hapo ni kutaka kuigawa CCM katika makundi na uhasama! Lakni pia yawezekana kabisa Makonda na Magufuli walipanga na Pengo alizungumze hili maksudi ili ku~draw attension ya watu kuwa Makonda ndo mtarajiwa baada ya Magufuli na hili linafikrisha sana hasa tunapoangalia figisu zinazoendelea ndani ya CCM yenyewe…!!
 
Askofu wangu ubarikiwee sanaa sanaaaa andiko bora kabisaaa,Mungu wa Mbinguni azidi kukupa hekima kama hii uliyo nayo,be blessed hakila umenibariki
Ni Mungu pekee yake atakayewahukumu
 
Tena ni aibu kweli mtu ana comment hata hajui kimeandikiwa nn
Hujasoma hata post yenyewe umeshacomment, huu ni umbumbumbu wa hali ya juu sana. Hata hivyo sina mashaka kuwa msimu wako utapita kama wengine pia walivyopita
 
Roman katoliki ni kanisa la kimalaya.Liko kifursa sana hili.Refer uchaguzi wa kongo
 
Matokeo ya kuchanganya dini na siasa ndio haya, sasa kondoo wanagawanyika kuzingatia mitazamo ya wachungaji.
 

Anamuonya kama nani yeye, ajionye mwenyewe kwa kushindwa kuhudumia watu wamtii mungu badala yake amekuwa mtu wa kuhangaika na mitandao, hao ndo uzao wa kibweterere, kama anahisi siasa na uongozi ni mzuri aingie kwenye game maaa ana haki. Kila kutwa yeye na vimafumbo utafikili yupo uswaz mambo ya kanga. Kama anahisi anamonyo amfate muhusika wazungumze sio kila siku kuandika mitandaoni, ni kukosa maadili ya dini.kwa hiyo anatafuta huruma gani kwenye mitandao, au ndo kuzibuka? Tumechoka nae. Ushauli ni kwamba awafate wahusika awaonye huko waliko sio mitandaoni.
 
Unasema kunyamaza ni hekima we mbona unaongea pumba tupu. We ndo unajivunjia heshima.
 
Kadinali Pengo ni TISS na amekuwa akitoa taarifa nyeti tangu enzi za Nyerere,namshukuru Mungu kwa kuwa amemtumia Munga kama sauti ya watu!
 

Kumbe ndo maana kakosa maadili ya dini ya kushauri kwa staha yeye kahamia mitandaoni kutafuta uungwaji wa wananchi? Aludie maadili ya jinsi ya kuwashauli watawala kama mungu alivyosema, akishindwa ndo aje huku tena ayaseme kanisani kwake sio mitandaoni, kwa kuwa hao serikari wanasali humo kanisani mwake na pia wahalifu nao wamo. Wakiokoka kila kitu kitakuwa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…