eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Mikutano ya ndani haina kipengere hicho , ndio maana Manara anaongea mara kwa mara na waandishi wa habari
Kwani Tanzania kuna corona ?
Pengine Corona itakuwepo kwa kipindi kirefu. Pengine tutalazimika kuishi nao kwa kipindi kirefu.
Swali ni je, nani alikuwa wa kwanza kutamka maneno haya??