Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kuongea na Vyombo vya Habari vya ndani na nje ya nchi

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kuongea na Vyombo vya Habari vya ndani na nje ya nchi

Amemaliza kuongea waandishi wanaambiwa kuna maji ya kunywa msiondoke!!! Bahasha bei gani wamepewa?? Zimetolewa na nani hizo pesa?
 
Amina baba askofu. Shikilia hapo hapo! Usirudi nyuma baba. Jiwe amejigeuza kuwa Mungu wa watanzania wajinga.

Sasa tunqpowapata watu wenye akili kama wewe Mwamakula napata faraja Sana.

Mungu anakutumiq baba askofu kuyakomboa haya makapi ya binadamu yaliyojazana kwenye haka ka nchi kaitwako Tanzania.
Hayo hayo mliyaandika wakati munamuona Membe eti ni mkombozi wenu! Hayana impact yoyote!
 
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi, na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi.

Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha Rift Valley, hapo waulize nyumbani kwa Askofu Mwamakula wataonyeshwa.

Wote Mnakaribishwa.

Angalizo: Usisahau kuvaa Barakoa
I will attend.
 
He is ptting the police in its place.

Aangalie wasimdake tena kwa kufanya mkutano nyumbani kwake bila kibali.
 
Tumepuuuza huyo!

Hata aende akaongee kule hard talk kama mwenzie mbelgiji hana atakachopata na wala hakuna wa kumsikiliza.
Punguza chuki mkuu haitokusaidia badala yake itakurudisha nyuma kwani wewe nani anayekusikiliza
 
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi, na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi.

Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha Rift Valley, hapo waulize nyumbani kwa Askofu Mwamakula wataonyeshwa.

Wote Mnakaribishwa.

Angalizo: Usisahau kuvaa Barakoa
Mnazidi kueneza corona kwa ajili ya ujinga wenu na kukosa maarifa.
 
Mleta mada na Chadema mumeangalia facial expression ya Mwamakula akijieleza kwenye press conference leo?? mmemegundua kitu? Kama hamjagundua kitu poleni.Ha ha ha

Twende kazi baba Askofu, sauti ya wanyonge iende kusikika sasa - Mungu wa Yakobo na Isaka akupe nguvu kuu.

"Mwanakondoo ameshindaaa........"
 
Twende kazi baba Askofu, sauti ya wanyonge iende kusikika sasa - Mungu wa Yakobo na Isaka akupe nguvu kuu.

"Mwanakondoo ameshindaaa........"
Mungu wa Isaka na Yakobo alikuwa hahitaji kutumia maandamano kuwatoa wana Israel utumwani mwa Farao

Askofu MUSA HAKWENDA kuongea na wana wa Israel jinsi ya kufanya ili waondoke utumwani aliongea na Mungu tu .Na MUNGU akamwambia Askofu Musa cha kufanya.Wana wa Israeli wakatoka MIsri utumwani bila kuandamana wala kurusha jiwe wala kudai katiba mpya wala tume huru!!! Sababu Musa alitumia nguvu zake za kiroho na ukaribu wake na Mungu kumaliza vizuri sana swala lao la tatizo lililokuwa lilikabili taifa la Israeli

Hawa maaskofu koko kama akina Mwamakula wanaaongea na Watu hakuna uaskofu hapo ETI TUTOKAJE tuandamane!!!! TUANDAMANE!!! Kashindwa kuongea na Mungu ANAKIMBILIA KUONGEA NA watu.Kifupi hakuna Askofu hapo.Huyo hayuko karibu na MUNGU na hamjui Mungu anajua watu tu
 
Huyu Askofu Mwanaharakati, mbona ni tapeli hivi. Anatumia platform ya kidini kuendeleza siasa za kichama, huyu Askofu ni shabiki mkubwa wa chadema, na platform anayoitumia ni ya umma wote, Dini hazina vyama. Jee kanisa lake ni la wana Chadema tuu?
Kuhamasisisha watu kudai haki yao ndo utapeli?kwani analipwa?.
 
Mungu wa Isaka na Yakobo alikuwa hahitaji kutumia maandamano kuwatoa wana Israel utumwani mwa Farao

Askofu MUSA HAKWENDA kuongea na wana wa Israel jinsi ya kufanya ili waondoke utumwani aliongea na Mungu tu .Na MUNGU akamwambia Askofu Musa cha kufanya.Wana wa Israeli wakatoka MIsri utumwani bila kuandamana wala kurusha jiwe wala kudai katiba mpya wala tume huru!!! Sababu Musa alitumia nguvu zake za kiroho na ukaribu wake na Mungu kumaliza vizuri sana swala lao la tatizo lililokuwa lilikabili taifa la Israeli

Hawa maaskofu koko kama akina Mwamakula wanaaongea na Watu hakuna uaskofu hapo ETI TUTOKAJE tuandamane!!!! TUANDAMANE!!! Kashindwa kuongea na Mungu ANAKIMBILIA KUONGEA NA watu.Kifupi hakuna Askofu hapo.Huyo hayuko karibu na MUNGU na hamjui Mungu anajua watu tu
Mtumishi wa bwana kagusa usichotaka kukisikia - reaction yako ndiyo inaonyesha wasiwasi ulionao ndani ya nafsi yako - Nguvu ya Mungu inakwenda kufanya kazi !!
 
Tumepuuuza huyo!

Hata aende akaongee kule hard talk kama mwenzie mbelgiji hana atakachopata na wala hakuna wa kumsikiliza.
Usitusemee, Kama wewe hutomsikilisa ki mpango wako. Hivi kudai tume huru na katiba mpya imekuwa uvunjifu wa amani nchi hii?
 
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi, na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi.

Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha Rift Valley, hapo waulize nyumbani kwa Askofu Mwamakula wataonyeshwa.

Wote Mnakaribishwa.

Angalizo: Usisahau kuvaa Barakoa
Twende hadi kituo cha polisi tukamuulizie Bendekile kweli!!??
 
Hivi huyo ni askofu au mwanasiasa? Atakuwa anatumiwa na mabeberu, siyo bure
Baba Mtakatifu wa Wakatoliki ndo Kiongozi wa Vatican na Serikali yake na anaongoza vizuri kuliko Rais wa nchi jirani ya Italia au Marais Wakatoliki wa nchi nyingi duniani Tanzania ikiwemo. Askofu Mkuu wa Cyprus, Archbishop Makarios, alikuwa Rais wa kwanza baada ya kuwaondoa Wakoloni na kupata Uhuru wa nchi yenye Mataifa mawili, Wagriki na Waturuki na kuongoza vizuri sana mpaka alipoondoka madarakani na nchi ikagawanyika hadi leo. Nchi za Kiislam Marais wengi ni Mashekhe na wanaongoza vizuri sana na kugawa keki za mataifa yao kwa wananchi wote ndo maana huwezi kuona ombaomba kila kona kama kwetu. Tanzania inahitaji kiongozi anayempenda Mungu siyo mnafiki msema kweli mpenzi wa Mungu!
 
Baba Askofu ana sifa zote za kuwa Askofu - Askofu anatakiwa kuwa mtu aliyejawa na hekima.

Nimetafakari sana, kama maswali aliyoulizwa Askofu, angeulizwa Rais wetu, sijui ni majibu gani tungepata. Baba Askofu, hakuna swali lililoulizwa, lililokosa jibu lenye hekima kubwa ndani yake.
 
Back
Top Bottom