Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona waziri mkuu alikuwa ndio boss wake bwana Sumaye mlitaka kumpeleka ikulu akauze vingine tena?Usituingize kwenye mbumbumbu wako. Wenzako hatuamini kwenye kuropoka na kupayuka tumwamini kwenye haki na ukweli. Baki na mazuzu wenzio mnaodanganywa kwamba mna raisi mzalendo wakati aliwauzia nyumba za umma pale dodoma kwa mil6 lila moja. Yaani ghorofa liliuzwa ml 6 tena kwa mkopo. Hakuishia hapo akauzia vimada wake kina kajala wa kebys nyumba za umma tena hakuwa mtumishi.
Huyu ni tutu wa bongoHii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi , na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi .
Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha Rift Valley , hapo waulize nyumbani kwa Askofu Mwamakula wataonyeshwa .
Wote Mnakaribishwa .
Angalizo : Usisahau kuvaa Barakoa .
Hatari snaSafi sana Baba Askofu,kaza hapo hapo,wageni wote wasiojua kwako wakaulizie hapo kituo cha polisi,maafande wawaelekeze[emoji3]
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi , na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi .
Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha Rift Valley , hapo waulize nyumbani kwa Askofu Mwamakula wataonyeshwa .
Wote Mnakaribishwa .
Angalizo : Usisahau kuvaa Barakoa .
Upinzani imara na wenye matokeo chanya ni ule wa WATU bila kuunganishwa na vyama bali changamoto zao za pamoja. CCM inaenda kukutana na aina hii upinzani ndani ya chama, Serikali na nje.Viongozi wote wa Upinzani wangekuwa determined kama huyu “Askofu”, labda by now tungeshaona mwanga kwenye njia ya kupata Katiba Mpya
Sadly wengi huwa wanalialia wimbo wa Katiba mpya kila uchaguzi unapoisha (baada ya kuibiwa kura) au kukaribia. Hakuna mtawala yoyote atakuja kukupa Katiba unayoipenda wewe kwenye silver plate
Nyie wauaji ndio mmempuuza, wenye haki wamemzingatiaTumepuuuza huyo!
Hata aende akaongee kule hard talk kama mwenzie mbelgiji hana atakachopata na wala hakuna wa kumsikiliza.
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi , na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi .
Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha Rift Valley , hapo waulize nyumbani kwa Askofu Mwamakula wataonyeshwa .
Wote Mnakaribishwa .
Angalizo : Usisahau kuvaa Barakoa .
Huyu Askofu Mwanaharakati, mbona ni tapeli hivi. Anatumia platform ya kidini kuendeleza siasa za kichama, huyu Askofu ni shabiki mkubwa wa chadema, na platform anayoitumia ni ya umma wote, Dini hazina vyama. Jee kanisa lake ni la wana Chadema tuu?
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mdude mlikuwa mnampa moyo kama hivi alipotiwa nyavuni mkala kona kama sio nyie vile
Tumepuuuza huyo!
Hata aende akaongee kule hard talk kama mwenzie mbelgiji hana atakachopata na wala hakuna wa kumsikiliza.
sasa uliumia nini badala nawewe ukanunue!!!! , swala la wewe kukosa hela lisikupe hasira.Usituingize kwenye mbumbumbu wako. Wenzako hatuamini kwenye kuropoka na kupayuka tumwamini kwenye haki na ukweli. Baki na mazuzu wenzio mnaodanganywa kwamba mna raisi mzalendo wakati aliwauzia nyumba za umma pale dodoma kwa mil6 lila moja. Yaani ghorofa liliuzwa ml 6 tena kwa mkopo. Hakuishia hapo akauzia vimada wake kina kajala wa kebys nyumba za umma tena hakuwa mtumishi.
Hao ndo Watanzania ndugu wao wanaamini katiba ni siasa na katiba ina mambo ya uchaguzi tu.Hili Taifa kuna kazi kubwa kukombolewa
Kwani wale waliokuwa wanamuunga mkono Mandela alipofungwa na makaburu, wote walitaka wakafungwe naye?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mdude mlikuwa mnampa moyo kama hivi alipotiwa nyavuni mkala kona kama sio nyie vile
Hapana. CCM na dola yake itakachokutana nacho ni “miguno tu na vilio vya chinichini” kutoka ndani na nje ya chama. During that time when it matters most, hakuna wa kusimama na kuhesabiwa.CCM inaenda kukutana na aina hii upinzani ndani ya chama, Serikali na nje.
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi , na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi .
Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha Rift Valley , hapo waulize nyumbani kwa Askofu Mwamakula wataonyeshwa .
Wote Mnakaribishwa .
Angalizo : Usisahau kuvaa Barakoa .
😆😆😆😆Huyu askofu kaamua kwenda jehanamu Mungu alimtuma kuhubiri injili sio kuhubiri katiba mpya au tume huru za uchaguzi
Kwahiyo nao walijificha uvunguni?Kwani wale waliokuwa wanamuunga mkono Mandela alipofungwa na makaburu, wote walitaka wakafungwe naye?
Umeshafika kumsikiliza akofu wako?Mmepuuza nyie wenye kiburi cha ajira za wanaume, lakini sisi tunamkubali na tutamsikiliza.
Hivi huyo ni askofu au mwanasiasa? Atakuwa anatumiwa na mabeberu, siyo bure
Unaongea nyuma ya keyboard huku mkia umeingiza ndani,umeufyata...............wabongo bhana ni kama ukimfungia jogoo bandania anapiga kelele lakini hawezi kufungua mlangoAmina baba askofu. Shikilia hapo hapo! Usirudi nyuma baba. Jiwe amejigeuza kuwa Mungu wa watanzania wajinga.
Sasa tunqpowapata watu wenye akili kama wewe Mwamakula napata faraja Sana.
Mungu anakutumiq baba askofu kuyakomboa haya makapi ya binadamu yaliyojazana kwenye haka ka nchi kaitwako Tanzania.